- Uteuzi wa Nafasi ya juu ya uongozi kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini – TAKUKURU
Rais wangu… yupo kazini kujenga Taifa lenye wananchi wanaokataa rushwa kwa VITENDO na kutoka MOYONI
Nchi yangu… ipate Matokeo ChanyA+ 110% kimaadili na UZALENDO kwa nchi yetu.
#SisiNiTanzaniaMpyA+
- Gerson Msigwa: Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU