Waliotorosha mashine za kiwanda cha almasi Iringa waanza kusakwa

Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi ametoa siku 30 kwa watu wanaohusika na utoroshwaji wa mashine zilizokuwa katika kiwanda cha almasi cha mjini mafinga na kutaifishwa kujisalimisha ofisini kwake kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa

Ad

Unaweza kuangalia pia

CATCH UP: WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKISOMA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI BUNGENI

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.