Maktaba ya Kila Siku: September 13, 2018
IRINGA: Ziara ya Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi yaibua makubwa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na uchunguzi wa jinai kwa watendaji mbalimbali wa kijiji cha utosi, kata Sadani akiwemo katibu tarafa wa Sadani kwa makosa mbalimbali wanayotuhumiwa. Katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi kijiji cha Utosi tarafa ya SADANI, wananchi …
Soma zaidi »SIKILIZA Radio chanyA+ REDIO YA MTANDAONI BURE
• Ni redio inayosimulia na kufafanua Matokeo ChanyA+ yanayofanywa kila dakika, kila saa TANZANIA 🇹🇿 katika ujenzi wa Taifa lenye uchumi imara na madhubuti kwa mkunufaisha wananchi wote. BOFYA • Ni redio iliyosheheni hotuba za kizalendo za viongozi wakuu wa nchi, makala ChanyA+ za miradi inayotekelezwa na serikali kwa sasa, …
Soma zaidi »CHAMWINO: “Kaitumie sheria inayokupa mamlaka ya kuwafikisha mahakisha mahakamani wala rushwa ‘DIRECT’ bila kupita kwa yeyote” – RAIS MAGUFULI
Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, wamekula kiapo mbele yake katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma siku ya Jumatano Septemba 12, 2018. “Nenda ukafanye kazi.” Kauli ya Rais Magufuli akimuagiza Mkurugenzi wa mpya wa Taasisi ya Kusuia na Kupambana na …
Soma zaidi »MBEYA: Uzuri wa ziwa Ngosi Nchini Tanzania Lenye umbo la Afrika
Ziwa Ngosi linapatikana milima ya Upoto, Mkoa wa Mbeya nyanda za juu kusuni mwa Tanzania, ziwa hili linatajwa na mlipuko wa volkano ni tofauti na maziwa mengine kama ziwa victoria au ziwa nyasa. Upekee au utofauti wa ziwa hili ni kwamba ziwa hili liko juu ya milima na katikati ya …
Soma zaidi »Rais wa Tanzania amedhamiria na amejitoa mhanga kuijenga nchi ya Tanzania upyA+
DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI; •Rais wa Watanzania wa Hali ya chini, Masikini, wenye shida, wahitaji, wenye kumudu mlo wa siku kwa taabu; akiwa na lengo la kuwainua, kuwapa nguvu ya Kufanya Kazi na kupata kipato, • Rais mwenye kuwafanya watu wote wa nchi yake bila matabaka kuwa sehemu ya …
Soma zaidi »SOMA JARIDA: Serekali yatenga Bilioni 20 kujenga Jengo la Kisasa Muhimbili.
LOLIONDO: Ujenzi wa Barabara ya Loliondo – Mto wa Mbu UMESHIKA KASI #TupoVizuri.
Ni barabara inayotoka Ngorongoro, Loliondo itapita Wasso hadi Mugumu mpaka Mto wa Mbu Itakuwa na urefu wa kilomita 218 Inanajengwa kwa kiwango cha lami Itapita katika mikoa minne; Mara, Manyara, Arusha na Mwanza Ujenzi utakuwa wa kasi utakaofanyika kwa awamu mbali mbali ambapo awamu ya kwanza itaanzia kijiji cha Waso …
Soma zaidi »