Maktaba ya Mwezi: September 2018

Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam

Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …

Soma zaidi »

MWENYEZI MUNGU AMLINDE NA AMJAALIE AFYA NJEMA RAIS MAGUFULI – MZEE MSEKWA

“Mwenyeji Mungu amjaalie Afya njema..ili aendelee kuijenga nchi yetu.., kuiongoza nchi yetu kwa miaka kumi; Isingekuwa juhudi zako Nyerere.., Taifa letu lingekuwa wapi.. Tutataka kumuimbia Rais Magufuli, Isingekuwa juhudi za Magufuli.. haya yangetoka wapi..” – Mzee Pius Msekwa, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 05/09/2018 Ikulu …

Soma zaidi »

#NiSisiSisi Watanzania Tumenufaika na Mkutano Wa FOCAC – Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu – Tarehe 5 Septemba 2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa kutokana na kushiriki kwake katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Amesema kikao hicho kimekuwa na tija kwa Tanzania kutokana na maeneo ya vipaumbele yaliyojadiliwa katika mkutano huo hususani masuala ya uwekezaji kwenye sekta ya viwanda. …

Soma zaidi »

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo Ameziagiza Halimashauri Zote za Mkoa Kusimamia Vyema Uukusanyaji wa Mapato.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo ameziagiza Halmashauri zote za Mkoa huo kusimamia vyema swala la ukusanyaji wa Mapato sambamba na kuipa ushirikiano wa kutosha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mhe. Gambo ametoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru katika  ziara yake …

Soma zaidi »