Maktaba ya Mwezi: October 2018
RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA MASUALA YA ELIMU AFRIKA (FEF2018).
MARUFUKU KUPIMA MASHAMBA BILA KUPANGWA – WAZIRI LUKUVI
Serikali imezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatoa vibali vya ujenzi wa nyumba ndani ya siku tatu na kazi hiyo isimamiwe na Maofisa Mipango Miji. Aidha, imesisitiza kuwa zoezi la urasimishaji katika maeneo yaliyojengwa nyumba kiholela lazima yarasimishwe na zoezi hilo halitakiwi kubomoa nyumba ya mtu yoyote. Kauli hiyo imetolewa leo …
Soma zaidi »RAIS Dk. SHEIN ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA HOSPITAL YA KIVUNGE
Video; KIWANDA CHA KWANZA CHA KUTENGENEZA SMARTPHONE AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA NCHINI
Kampuni ya IPP imetangaza kuanza ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha kutengeneza simu janja maarufu kama smartphone, simu zitakazokuwa na uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa wiki moja na kwa wasiokuwa na umeme wanaweza chaji kwa nguvu ya Jua. Kiwanda hicho kitakachokuwa cha kwanza nchini na Afrika Mashariki, …
Soma zaidi »UJENZI WA MGODI WA MFANO LWAMGASA UMEKAMILIKA KWA 80%
Hadi kufikia Septemba, 2018 kazi ya Ujenzi wa Mgodi wa Mfano Lwamgasa na usimikaji wa mitambo ya uchenjuaji imekamilila kwa asilimia 80 Mkoani Geita. Lengo la mgodi huo ni kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo kuhusu uchimbaji sahihi na uchenjuaji bora wa madini ya dhahabu. Mgodi wa Mfano wa Lwamgasa ambao …
Soma zaidi »HATUWEZI KUENDELEA KUAGIZA SUKARI WAKATI TUNA UWEZO WA KUFANIKISHA UZALISHAJI – Dkt. TIZEBA
Serikali imeipa changamoto Bodi ya sukari nchini kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwa ni pamoja na kusisitiza kuhuisha uzalishaji wa sukari kwa wingi ili kuondokana na uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi. KaMpuni mbalimbali za uzalishaji wa sukari nchini zimeitikia wito wa Serikali wa kuongeza uzalishaji wa sukari ili …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAONYESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOANI PWANI.
MSIMAMO WETU NI ULEULE KUHUSU MKATABA WA EPA – Prof. KABUDI
Waziri wa Katiba na Sheria Prof.Palamagamba Kabudi ameongoza ujumbe wa Tanzania ulioshiriki mkutano wa pamoja wa 16 wa Mawaziri wa Biashara wa nchi za Afrika, Karibeani na Pasifiki (ACP) na Umoja wa Ulaya (EU) uliofanyika jijini Brussels nchini Ubelgiji Oktoba 26, 2018. Mbali na Mkutano huo, Mheshimiwa Profesa Kabudi alishiriki …
Soma zaidi »LIVE: Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda Pwani
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mkoa wa Pwani ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda Pwani.
Soma zaidi »