Maktaba ya Mwezi: October 2018

TUNAYO NGUVU KAZI YA TAIFA YA KUTOSHA KUJENGA UCHUMI IMARA NA MADHUBUTI KWA NCHI YETU

Amtia nguvu Rais Magufuli aendelee kufufua uchumi wa nchi yetu na asikate tamaa. Asisitiza kuwa serikali ya awamu hii inaweza kufanya bajeti ya nchi yetu itokane na makusanyo ya mapato. Ashauri uwekezaji uendelee kuhusishe wazawa. Asisitiza serikali iendelee kuwa imara na kutumia nguvu kazi (vijana) wajenge uchumi madhubuti wa nchi …

Soma zaidi »

Late Live: IGP AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Azungumzia hatua muhimu za oparesheni mbalimbali za jeshi la polisi kwa miezi mitano (Machi hadi Oktoba) Oparesheni hiyo imeweza kukamata magari ya wizi 42 na yote yanaletwa Dar es Salaam kwaajili ya kuwarahisishia wananchi kwaajili ya utambuzi katika tarehe itakayotangazwa. Hali kadhalika, silaha mbalimbali 190 na risasi nyingi zimekamatwa katika …

Soma zaidi »

#MATAGA WIZARA YA MAJI; HADI SASA VITUO 123,888 VYA KUCHOTEA MAJI VIMEJENGWA KATIKA VIJIJI NCHINI!

Maji ni rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Tanzania inakadiriwa kuwa na rasilimali za maji juu ya ardhi zenye kilomita za ujazo 92.27 na chini ya ardhi kilomita za ujazo 38. Utunzaji na uendelezaji wa rasilimali hizo unasimamiwa na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali ikiwa ni …

Soma zaidi »