Maktaba ya Mwezi: November 2019
RAIS MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO WA 18 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NORDIC NA AFRIKA
Rais Dkt. John Magufuli amezishukuru nchi za Nordic kwa uhusiano na ushirikiano wake mzuri na nchi za Afrika ikiwemo Tanzania na ametoa wito kwa nchi hizo kujielekeza zaidi katika ushirikiano wa kiuchumi. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 08 Novemba, 2019 alipohutubia Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo …
Soma zaidi »GESI TULIYONAYO LAZIMA ITUMIKE KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA – DKT KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema mpango wa serikali wa miaka 30 wa matumizi sahihi ya rasilimali za gesi na mafuta, pamoja na mambo mengine, umelenga kuhakikisha gesi inatumika kujenga uchumi wa viwanda. Akizungumza katika ufunguzi wa Jukwaa la Tisa la Uziduaji, Novemba 6, mwaka huu jijini Dodoma, Dkt …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI: SISI TUNAUWEZO, FURSA NA MAZINGIRA YA KUINGIA KWENYE USHIRIKIANO MADHUBUTI WA KIUCHUMI
Mustakabali wa Taifa letu hauwezi kuwa na maana sana, endapo taifa letu litaendelea kuwa tegemezi kiuchumi. Pamoja na uhusiano mzuri na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye ushirikiano kati ya nchi za Afrika na Nordic, bado tuna fursa ya kuukuza uhusiano wetu na kuupa msukumo mpya ili kuleta manufaa makubwa zaidi kwa …
Soma zaidi »SISI TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MARAFIKI WEMA.
Nchi za Nordic zina jumla ya watu milioni 27 tu, huku Pato lao kwa mwaka ni Dola za Marekani trilioni 1.7; (Dola za Marekani Bilioni 1700.) Tanzania ambao idadi ya watu ni milioni 55, mara mbili zaidi ya nchi za Nordic, Pato la Taifa kwa mwaka jana lilikuwa na thamani …
Soma zaidi »Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na Nordic (Afrika 29 na 5 za Nordic)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli amefungua Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC. Mada ya mkutano wa mwaka huu Ushirikiano kwa maendeleo endelevu. Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiaano wa Kimataifa Profesa Palamagamba …
Soma zaidi »Alisema Tore Linné Eriksen, msomi na mwanaharakati wa Norway.
“Jukumu lililochukuliwa na Julius Nyerere na Kenneth Kaunda halipaswi kupuuzwa. Nyerere alikuwa maarufu sana katika nchi za Scandinavia. Na alikuwa anazungumza wazi pale lilipohusu Kusini mwa Afrika, na kila wakati alikuwa akizungumza, wakati alipotembelea Norway, nchi yake haikujiona huru kama Afrika Kusini haikuwa huru. Na Kaunda, ambaye pia alikuwa akiheshimiwa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AFYA WA NCHI ZA SADC
HATUTAONGEZA MUDA – DKT KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amekataa maombi ya mkandarasi kampuni ya KEC International Ltd kutoka India, anayetekeleza mradi wa kupanua kituo cha kupoza umeme kilichopo Zuzu, mkoani Dodoma, kuongezewa miezi mitatu zaidi ili akamilishe kazi hiyo. Badala yake, Dkt Kalemani amemtaka Mkandarasi huyo kukamilisha kazi husika na kuikabidhi kabla …
Soma zaidi »TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA PILI YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA NJE NCHINI CHINA
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshiriki katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China ambayo yamefunguliwa na Rais wa China Xi Jinping ambapo nchi zaidi ya 64 zinashiriki kuonyesha bidhaa mbalimbali. Tanzania inashiriki maonesho hayo kwa kutangaza mazao ya kimakakati pamoja na …
Soma zaidi »