Na Zuena Msuya, Mtwara Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miundombuni ya uchimbaji, uchakataji na usafirishaji wa gesi asilia katika Mikoa ya Lindi na Mtwara. Mhandisi Zena alifanya ziara hiyo mwishoni mwa juma kwa kukagua visima vya kuchimba gesi vilivyopo Mnazi …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: June 2, 2020
WAFANYABIASHARA KANDA YA ZIWA WATAKIWA KUZALISHA ZAIDI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewataka wafanyabiashara wa ukanda wa Ziwa Victoria kuongeza uzalishaji wa bidhaa za samaki, matunda, nyama na mbogamboga ili kuwezesha uwepo wa safari za uhakika za ratiba kwa mashirika ya ndege kutoka nje ya nchi kupitia mkoa wa Mwanza. Akizungumza mara baada …
Soma zaidi »WATALII WAANZA KUINGIA NCHINI
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakishuhudia na kuzungumza na baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa KIA. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakizungumza na …
Soma zaidi »MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA -WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la mkonge nchini zinarudishwa mikononi mwao na hakuna mtu yeyote atakayeonewa.“Tutarudisha mali zote za wakulima na ninawahakikishia hakuna mtu yoyote atakayeonewa, kama tulivyorudisha hizi mali za …
Soma zaidi »