RAIS DKT. MAGUFULI AMPANDISHA CHEO MKUU WA JKT, MEJA JENERALI CHARLES MBUGE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya, Meja Jenerali Charles Mbuge, baada ya kupandishwa cheo tarehe 3 Jun 2020 Makao Makuu ya JWTZ ya Muda yaliyopo Msalato Jijini Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa uwezo wa nchi kuzalisha umeme umefikia megawati 3,169.20. Kati ya kiwango hicho, megawati 3,091.7 zimeunganishwa kwenye Gridi ya Taifa, ikiwa ni sawa na asilimia 97.55 ya umeme wote unaozalishwa nchini

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TANESCO, mafanikio haya yanatokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *