JNIA WAPATIWA MAFUNZO YA UTAYARI WA KUPOKEA WATALII

Mkurugenzi wa Udhibiti wa Uchumi kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TCAA), Bw. Danny Mallanga ( kushoto) akimweleza jambo Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona jijini Dar es salaam.
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regina Hess akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona jijini Dar es salaam. Ujerumani imekua ikiunga mkono juhudi za Serikali kwa kufadhili mafunzo hayo katika maeneo mbalimbali.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utayari wa kupokea watalii kutoka katika taasisi zinazotoa huduma ya kuypokea watalii katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona wakifuatilia mada mbalimbali jijini Dar es salaam
Ad

Unaweza kuangalia pia

BANDARI YA DAR ES SALAAM INAPANUKA NA KUIMARIKA: HATUA MUHIMU KWA UCHUMI WA TANZANIA

Bandari ya Dar es Salaam ni kitovu muhimu cha biashara na uchumi wa Tanzania, na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *