RAIS DKT. MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA TUME YA UCHAGUZI NEC NJEDENGWA JIJINI DODOMA Matokeo ChanyA+ August 6, 2020 CCM, JIJI LA DODOMA, MJI WA SERIKALI Acha maoni 2,466 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Begi leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020. Mgombea Mwenza kwa Tiketi ya CCM Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Ofisi za Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020 mara baada ya kuchukua Fomu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Chama hicho White House Dodoma wakati akitoka kuchukua Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Chama hicho White House Dodoma wakati akitoka kuchukua Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameketi katika Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM White House jijini Dodoma mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ofisi za NEC. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi la Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu. PICHA NA IKULU Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest