Wananchi Mkoani Rukwa wameusiwa kuendelea kuitunza amani katika kipindi chote cha kampeni wakati tukielekea kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika siku ya Jumatano tarehe 28.10.2020 utakaowapa nafasi ya kuwachagua Madiwani katika ngazi za Kata, Wabunge katika ngazi za Majimbo pamoja na kumchagua Rais wa nchi ya Tanzania. Usia huo umetolewa na Mkuu …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 24, 2020
WAZIRI MHAGAMA AIASA JAMII KUTOPUUZA VYAKULA VYA ASILI
NA.MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameiasa jamii kuendelea kutumia vyakula vya asili ili kuwa na afya bora na kuondokana na magonjwa yatokanayo na lishe duni. Ameyasema hayo wakati wa ziara yake …
Soma zaidi »WATENDAJI WA MIKOA WAHIMIZWA KUSIMAMIA USTAWI WA SEKTA YA FEDHA NCHINI
Na Farida Ramadhani, WFM, Morogoro Serikali imewataka watendaji wa mikoa kuhakikisha wanasimamia na kuendeleza Sekta Ndogo ya Fedha nchini kwa kuhamasisha watoa huduma katika sekta hiyo wanasajiliwa na kukata leseni kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018. Agizo hilo limetolewa na Kamishna wa Idara ya …
Soma zaidi »NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AKAGUA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP)
Mafundi wakiendelea na kazi ya kukamilisha lango la handaki la kuchepusha maji ya mto wakati wa kujenga Bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Bonde la mto Rufiji wa Julius Nyerere. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja alifanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi …
Soma zaidi »TIC YAFANIKISHA MPANGO WA KAMPUNI YA MISRI KUWEKEZA KIWANDA CHA VIFAA VYA UMEME TANZANIA
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mwakilishi wa Kampuni ya kuzalisha vifaa vya umeme ya Elsewedy Electric ambaye ni Mkurugenzi Mkaazi wa Afrika Mashariki wa Kampuni hiyo injinia Ibrahim Qamar kutoka nchini Misri anayewekeza nchini Tanzania amesema kuimarika kwa Sera, Sheria na mazingira mazuri ya Uwekezaji Nchini Tanzania ikiwa ni …
Soma zaidi »