WATAALAM WA TIBA ASILI WATAKIWA KUFANYA UTAFITI WENYE USHAHIDI

Wataalam wa tiba asili na tiba mbadala nchi wametakiwa kufanya utafiti ambao utakuwa na ushahidi wa usalama wa dawa pamoja na ufanisi wa wa dawa hizo kwa watumiaji.

Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto-Idara kuu Afya Bw. Edward Mbanga wakati wa kikao cha pamoja cha wizara na wataalam hao kutoka taasisi za Serikali na Vyuo Vikuu mbalimbali nchini kilichofanyika kwenye ukumbi wa wizara jijini Dodoma.

Ad

Mbanga amesema kuwa ushahidi huonekana kwenye utafiti hivyo warudi nyuma na kujiuliza wamekosea wapi na nini kifanyike ili kuwa na uelewa wa pamoja kwani kizazi kijacho kinahitaji kuelezwa na kuelewa tiba asili.

Washiriki wa kikao kazi cha siku mbili cha kujadili muelekeo wa tiba asili nchini kinachofanyika kwenye ukumbi wa ofisi za wizara zilizopo Area D jijini Dodoma

“Lazima tuulizane tunataka kufikia wapi na kuweka mikakati ya kuyafikia,nashauri tutambue nini kifanyike,tuna changamoto zipi na tunafikaje huko kwa kushirikiana kwa pamoja ili tutambue kwanini hatufiki hivyo lazima tujikite kwenye utafiti wenye ushahidi”.Alisisitiza.

Aliongeza kuwa katika kikao hicho wataalam hao wanatakiwa kutafuta majibu ambayo tiba asili itaendelea hata baada ya kipindi hiki,na wawe na matamanio kama nchi nyingine ili tiba asili itolewe kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini.

Wataalam wa tiba asili/mbadala wakifuatilia hotuba ya ufunguzi toka kwa Kaimu Katibu Mkuu-Idara kuu Afya

“Tumekuwa tukifanya utafiti wa masuala ya tiba asili na tiba mbadala kuanzia miaka ya sitini, sasa tujiulize tangu tutafiti hadi sasa matokeo yanafanana?,bado kuna changamoto ya watu kushindwa kuthamini vya kwao hasa katika matumizi ya tiba asili kwa kuamini vinavyotoka nje ya nchi vina ubora zaidi kuliko vya kwao.

Hata hivyo Kaimu katibu mkuu huyo aliwataka katika kikao hicho watoke na mkakati wa kuanzisha vituo vya uendelezaji vya tiba asili kwenye halmashauri zote kwa kuwapatia ujuzi na motisha wataalam wa tiba asili pamoja na kufanyia tafiti dawa zao na mwisho wa utafiti kuwe na haki miliki.

Picha ya pamoja ya mgeni rasmi na washiriki wa kikao kazi cha kujadili muelekeo wa tiba asili na tiba mbadala nchini.

Na. Catherine Sungura,WAMJW-Dodoma

Kwa upande wake Kaimu Mganga Mguu wa Serikali Dkt. Eliud Eliakimu amesema kuwa kama nchi wameamua kuendeleza tiba asili kwa umoja ili kuwe na spidi ambayo italeta mafanikio yenye tija nchini.

Naye Mkurugenzi wa Idara ya Tiba kutoka Wizara ya afya Dkt. Grace Maghembe amesema tiba asili zipo na zinatumika kutibu magonjwa mbalimbali na malighafi ya kutengeneza dawa hizo zipo hapa nchini hivyo uwezo wa kutengeneza katika viwango kama nchini nyingine inawezekana endapo kutawekwa msukumo na hivyo kusaidia kuinua uchumi wa nchi na wa wakulima wa hapa nchini.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

157 Maoni

  1. The fascinating story of Marcus Rashford’s ascent https://manchester-united.marcus-rashford-cz.com to glory in the Red Devils: from a young talent to one of the key players of the team.

  2. The fascinating story of Antonio Rudiger’s transfer https://real-madrid.antonio-rudiger-cz.com to Real Madrid and his rapid rise as a key player at one of the best clubs in the world.

  3. Fascinating event related to this Keanu Reeves helped him in the role of the iconic John Wick characters https://john-wick.keanu-reeves.cz, among which there is another talent who has combat smarts with inappropriate charisma.

  4. Emily Olivia Laura Blunt https://oppenheimer.emily-blunt.cz British and American actress. Winner of the Golden Globe (2007) and Screen Actors Guild (2019) awards.

  5. Jon Jones https://ufc.jon-jones.cz a dominant fighter with unrivaled skill, technique and physique who has conquered the light heavyweight division.

  6. Latest news and analysis of the English Premier League https://epl-ar.com. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events.

  7. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-ar.com, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world on CS2 ar.

  8. Discover exciting virtual football https://fortnite-ar.com in Fortnite. Your central hub for the latest news, expert strategy and exciting eSports reporting.

  9. Latest news from the world of boxing https://boks-uz.com, achievements of Resul Abbasov, Tyson Fury’s fights and much more. Everything Boxing Ambassador has.

  10. Latest news about Pele https://mesut-ozil-uz.com, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  11. Marcus Lilian Thuram-Julien https://internationale.marcus-thuram-fr.com French footballer, forward for the Internazionale club and French national team.

  12. Lionel Messi https://inter-miami.lionel-messi-fr.com legendary Argentine footballer, announced his transfer to the American club Inter Miami.

  13. Welcome to our official website! Go deeper into Paulo Dybala’s https://paulo-dybala.com football career. Discover Dybala’s unforgettable moments, amazing talents and fascinating journey in the world of football on this site.

  14. Прокат и аренда автомобилей https://autorent.by в Минске 2019-2022. Сутки от 35 руб.

  15. Discover how Riyad Mahrez https://al-ahli.riyad-mahrez.com transformed Al-Ahli, becoming a key player and catalyst in reaching new heights in world football.

  16. Get to know the history, players and latest news of the Inter Miami football club https://inter-miami.uz. Join us to learn about the successes and great performances of America’s newest and most exciting soccer club.

  17. A site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.uz, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  18. The latest top football news https://futebol-ao-vivo.net today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts

  19. The best site dedicated to the football player Paul Pogba https://pogba.org. Latest news from the world of football.

  20. Vinicius Junior https://vinicius-junior.org all the latest current and latest news for today about the player of the 2024 season

  21. Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.

  22. From childhood teams to championship victories, the path to success with the Los Angeles Lakers https://los-angeles-lakers.lebron-james-fr.com requires not only talent, but also undeniable dedication and work.

  23. The story of the Moroccan footballer https://al-hilal.yassine-bounou.com, who became a star at Al-Hilal, traces his journey from the streets of Casablanca to international football stardom and his personal development.

  24. Victor Wembanyama’s travel postcard https://san-antonio-spurs.victor-wembanyama.biz from his career in France to his impact in the NBA with the San Antonio Spurs.

  25. Golden State Warriors success story https://golden-state-warriors.stephen-curry-fr.com Stephen Curry: From becoming a leader to creating a basketball dynasty that redefined the game.

  26. Del Mar Energy Company is an international industrial holding company engaged in the extraction of oil, gas, and coal

  27. The success story of the French footballer https://juventus.thierry-henry.biz at Juventus: from his career at the club to leadership on the field , becoming a legend and a source of inspiration for youth.

  28. The story of the great Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobe-bryant-fr.com with ” Los Angeles Lakers: his path to the championship, his legendary achievements.

  29. Find out the story of Jon Jones https://ufc.jon-jones-fr.biz in the UFC: his triumphs, records and controversies, which made him one of the greatest fighters in the MMA world.

  30. Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.

  31. The legendary boxing world champion Mike Tyson https://ufc.mike-tyson-fr.biz made an unexpected transition to the UFC in 2024, where he rose to the top, becoming the oldest heavyweight champion.

  32. The fascinating story of the creation and rapid growth of Facebook https://facebook.mark-zuckerberg-fr.biz under the leadership of Mark Zuckerberg, who became one of the most influential technology entrepreneurs of our time.

  33. The astonishing story of Emmanuel Macron’s https://president-of-france.emmanuel-macron-fr.com political rise from bank director to the highest office in France.

  34. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  35. Единственная в России студия кастомных париков https://wigdealers.ru, где мастера индивидуально подбирают структуру волос и основу по форме головы, после чего стригут, окрашивают, делают укладку и доводят до идеала ваш будущий аксессуар.

  36. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  37. Inter Miami FC https://mls.inter-miami-fr.com has become a major player in MLS thanks to its star roster, economic growth and international influence.

  38. Преимущества аренды склада https://efrprograms.ru/preimushhestva-arendy-sklada-kak-arenda-skladskih-pomeshhenij-mozhet-uluchshit-vash-biznes/, как аренда складских помещений может улучшить ваш бизнес

  39. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  40. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  41. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristianoronaldo-br.net one of the greatest football players of all time, begins a new chapter in his career by joining An Nasr Club.

  42. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  43. официальный сайт драгон мани казино сайт драгон мани казино

  44. Пансионаты для пожилых людей https://moyomesto.ru в Самаре по доступным ценам. Специальные условия по уходу, индивидуальные программы.

  45. The fascinating story of Sergio Ramos’ https://seville.sergioramos.net rise from Sevilla graduate to one of Real Madrid and Spain’s greatest defenders.

  46. The incredible success story of 20-year-old Florian Wirtz https://bayer-04.florianwirtz-br.com, who quickly joined the Bayer team and became one of the best young talents in the world.

  47. In-depth articles about the most famous football players https://zenit-saint-petersburg.wendel-br.com, clubs and events. Learn everything about tactics, rules of the game and football history.

  48. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  49. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-br.net one of the greatest basketball players of all the times, left an indelible mark on the history of sport.

  50. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *