Maktaba ya Kila Siku: December 12, 2020

UCHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE KWENYE MRADI WA STAMICO LAZIMA UANZE -WAZIRI BITEKO

Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na watumishi wa Wizara ya Madini kilichofanyika katika Mji wa serikali Mtumba Jijini Dodoma tarehe 11 Disemba 2020. Serikali imeeleza dhamira yake ya kuanza uchimbaji wa makaa ya mawe kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).Waziri wa …

Soma zaidi »

TANZANIA NA PAKISTAN ZASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA KIDIPLOMASIA

Tanzania na Pakistan zimetiliana saini mikataba miwili ya makubaliano ambayo ni mkataba wa mashaurino ya kidiplomasia pamoja na mkataba wa kuanzisha tume ya pamoja ya ushirikiano wa kiuchumi. Mikataba hiyo imesainiwa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John …

Soma zaidi »

TANZANIA YAHIMIZA MATAIFA MAKUBWA KUENDELEA KUZIFUTIA MADENI NCHI ZA OACPS

Na Nelson Kessy, Tanzania imeendelea kuhimiza umuhimu wa mataifa makubwa kuzifutia madeni nchi za Jumuiya ya nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) zilizoathiri na janga la COVID-19 pamoja na kuyataka mataifa hayo kuhakikisha kwamba chanjo ya COVID-19 itakayopatikana inazifikia nchi zote za Jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri …

Soma zaidi »