Maktaba ya Kila Siku: December 31, 2020

WAFUGAJI WATAKIWA KUWA NA MIFUGO BORA, KUBORESHA MAISHA NA KUKIDHI MAHITAJI YA VIWANDA

Na. Edward Kondela Wafugaji wametakiwa kuanza kufikiria kuwa na ng’ombe bora badala ya kuwa na ng’ombe wengi wasio na ubora ambao hawakidhi tija katika maisha yao kwa kutotoa mazao bora ambayo hayawezi kutoa kipato cha kuridhisha. Akizungumza jana (29.12.2020) katika Kijiji cha Kinango kilichopo Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza wakati …

Soma zaidi »

WATEJA WALIOLIPIA ANKARA ZA UMEME WAUNGANISHIWE UMEME NDANI YA MIEZI MITATU – DKT. KALEMANI

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijjini (REA), kuhakikisha wanawaunganishia umeme wateja wote waliolipia ankara za umeme jijini Mwanza na maeneo ya vijijini ndani ya miezi mitatu kuanzia tarehe 30 Desemba, 2020. Waziri Kalemani ameyasema hayo, tarehe …

Soma zaidi »

HAMASISHENI WANANCHI KUJIUNGA NA CHF – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ahakikishe anawahamasisha wananchi wajiunge na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kuwa na uhakika wa kupata matibabu. Amesema kwa sasa Serikali iko katika mchakato wa kuwa na huduma ya bima ya afya ya Taifa, …

Soma zaidi »

ONGEZENI KASI KATIKA HUDUMA ZA MAABARA: DKT. MHAME

Na. Catherine Sungura,WAMJW-DodomaWataalam wa Maabara nchini wametakiwa kuongeza kasi katika kuhakikisha huduma za tiba inayotolewa inafuata miongozi ya wizara na kuhakikisha wanabadili fikra na mitazamo ili kuwafanya wateja wao waweze kuvutiwa na huduma wanazozisimamia. Hayo yamesemwa leo na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AZIPA SIKU 30 TAASISI ZA UMMA ZINAZODAIWA NA TTCL KULIPA MADENI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo A. Mathew akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile (anayesikiliza) alipotembelea Shirika hilo, Dar es Salaam. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine …

Soma zaidi »

NDEJEMBI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKURABITA NA IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA

Mratibu wa Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge nchini (MKURABITA) Dkt.Seraphia Mgembe akieleza utekelezaji wa mpango huo kwa Naibu Waziri ,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi wakati alipowatembelea katika ofisi zao viwanja vya nane nane nzuguni Dodoma ili kujitambulisha na …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA MIRADI YA UZALISHAJIMALI YA WATU WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na Ndg. Galus Buriani (aliyekaa wenye ulemavu) wakati wa ziara yake ya kutembelea vikundi vya watu wenye ulemavu ambavyo vinajihusisha za shughuli za uzalishajimali na kuona namna walivyonufaika na mikopo inayotolewa na serikali …

Soma zaidi »