Na Munir Shemweta, DAR ES SALAAM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameanza kazi ya kuwatafuta wamiliki wa ardhi walioshindwa kuchukua hati zao kwenye ofisi za Ardhi za mikoa kwa kuwapigia simu wamiliki wa jiji la Dar es Salaam na kuwataka kuzifuata hati zao katika kipindi …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 29, 2020
VIWANDA KUONDOA UMASIKINI WA WAFUGAJI NA WAVUVI
Na. Edward Kondela Serikali imesema itahakikisha sekta za mifugo na uvuvi zinawaondoa wananchi katika umasikini, kupata ajira na nchi iweze kuuza bidhaa bora za mazao ya mifugo na uvuvi ndani na nje ya nchi. Akizungumza Jana (28.12.2020) katika siku yake ya kwanza ya ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MWITA WAITARA AMETEMBELEA MGODI WA DHAHABU WA GEITA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara (katikati) akikagua shughuli za uchimbaji katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) mkoani Geita na kuridhishwa na utunzaji wa mazingira mgodini hapo. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara ametembelea Mgodi wa …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE AHIMIZA TAASISI ZA SERIKALI KUTUMIA KITUO CHA TAIFA CHA KUHIFADHI DATA KUHIFADHI TAARIFA ZAO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Waziri Kindamba akimshukuru Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (wa kwanza kulia) kwa kutembelea Kituo cha Taifa cha Kuhifadhi Data, Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya …
Soma zaidi »