VIWANDA KUONDOA UMASIKINI WA WAFUGAJI NA WAVUVI

Na. Edward Kondela

Serikali imesema itahakikisha sekta za mifugo na uvuvi zinawaondoa wananchi katika umasikini, kupata ajira na nchi iweze kuuza bidhaa bora za mazao ya mifugo na uvuvi ndani na nje ya nchi.

Ad

Akizungumza Jana (28.12.2020) katika siku yake ya kwanza ya ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani mwanza, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki wakati akihitimisha ziara hiyo kwenye kiwanda cha kuchinja na kuchakata nyama cha Chobo kilichopo Kata ya Usagara Wilaya ya Misungwi amesema wizara imekuwa ikichukulia kwa uzito mkubwa suala la viwanda ambalo litaweza kubadilisha fikra za wafugaji na wavuvi.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki (wa kwanza kutoka kushoto), akiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Pauline Gekul (anayemfuata) pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi Dkt. Rashid Tamatamah (wa kwanza kutoka kulia), wakati Waziri Ndaki alipofanya ziara ya kikazi katika kiwanda cha kukausha mabondo ya samaki cha Hong Lin International Ltd kilichopo Wilaya ya Ilemela, jijini Mwanza.

“Wananchi wetu waondoe umasikini, wananchi wetu wapate ajira na sisi tuuze bidhaa za mazao haya ya mifugo na uvuvi yaliyo bora hapa ndani na kule kwa wenzetu nje, sasa mimi nikikuta hali ya mkwamo kwa kitu ambacho kinatusaidia kuelekea huko napata shida.” Amesema Mhe. Ndaki

Waziri Ndaki akifuatana na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Pauline Gekul katika ziara hiyo amefafanua kuwa haridhishwi na baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wawekezaji ambao wamejikita katika kuyaongezea thamani mazao ya mifugo na uvuvi na kumuagiza Kaimu Msajili wa Bodi ya Nyama nchini Bw. Iman Sichalwe kumpatia taarifa ya hali ya viwanda vya nyama nchini ili apate tathmini halisi ya utendaji kazi wa viwanda hivyo, baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Chobo, Bw. John Chobo kubainisha baadhi ya changamoto ambazo Waziri Ndaki amesema wizara itahakikisha inafuatilia changamoto zinazoihusu wizara hiyo ili kuzipatia majibu.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki na Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Pauline Gekul wakiangalia mabondo ya samaki baada ya kukaushwa tayari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda nje ya nchi, wakati walipofanya ziara ya kikazi katika kiwanda cha kukausha mabondo ya samaki cha Hong Lin International Ltd kilichopo Wilaya ya Ilemela, jijini Mwanza.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho Bw. John Chobo amesema kwa sasa kiwanda chake kimesimamisha uzalishaji na kinatarajia kuanza kurejea katika shughuli zake Mwezi Januari Mwaka 2021 baada ya ugonjwa wa Covid 19 kuathiri shughuli za kiwanda hicho ambacho kimekuwa kikisambaza nyama katika nchi za falme za kiarabu.

Bw. Chobo amesema kutopatikana kwa taarifa sahihi za mifugo kumekuwa kukichangia kwa kiasi kikubwa soko la nyama kutoka Tanzania kwenda nje ya nchi kuwekwa katika daraja la chini kwa kuwa mifugo mingi ambayo inachakatwa viwandani haina taarifa sahihi juu ya ukuaji wake, magonjwa na chanjo mbalimbali ambazo mfugo huo umepatiwa.

Akiwa katika Kiwanda cha kuchakata samaki Nile Perch kilichopo eneo la viwanda katika Kata ya Nyakato Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki akiambatana na Naibu Waziri Mhe. Pauline Gekul amewataka wawekezaji wa viwanda vya samaki vilivyopo Mkoani Mwanza kuhakikisha wanatumia usafiri wa ndege kutoka katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwanza kusafirisha minofu ya samaki ili kutangaza bidhaa zinazotengezwa hapa Tanzania.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki akiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Pauline Gekul wakati walipofanya ziara ya kikazi katika Maabara ya Taifa ya Uvuvi iliyopo Kata ya Nyegezi Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza na kushuhudia namna maabara hiyo inayofanya kazi kwa kufanyia uchunguzi sampuli za samaki kutoka viwandani. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi Dkt. Rashid Tamatamah.

“Tungependa kuona usafirishaji wa minofu ya samaki unafanyika hapa nchini kwetu, badala ya nchi jirani kwa kusafirisha kwa malori kwenda nchi za jirani, kuna uwekezekano kabisa wa kutoa minofu ya samaki kutoka kiwanja cha ndege cha Mwanza kwenda nje ya nchi badala ya kutumia nchi za jirani.” Amefafanua Ndaki

Aidha, amewataka wawekezaji wa viwanda vya samaki kuangalia namna ya kuongeza bei ya kununulia samaki kwa wavuvi wanaopeleka samaki katika viwanda hivyo ili wavuvi hao waweze kubadilisha maisha yao na kunufaika kupitia Sekta ya Uvuvi.

Waziri Ndaki amebainisha hayo baada ya Meneja Mkuu wa Kiwanda cha kuchakata samaki cha Nile Perch Bw. Rupesh Mohan kumueleza Waziri Ndaki na Naibu Waziri Gekul kuwa viwanda vya samaki vimekuwa vikikosa malighafi ya kutosha kutokana na soko la ndani kukua na wakati mwingine kupata samaki kwa bei ya juu, hali iliyomlazimu Waziri Ndaki kubainisha kuwa kama bei ya soko la ndani imepanda ni dhahiri wavuvi watauza samaki katika soko hilo badala ya kupeleka viwandani ambapo wanauza kwa bei ndogo.

Hivyo amevitaka viwanda vya kuchakata samaki kuangalia upya bei ya samaki wanayonunua ili wavuvi nao waweze kunufaika na kuboresha maisha yao na viwanda pia viweze kupata malighafi za kutosha.

Pia, Waziri Ndaki ametembelea kiwanda cha kukausha mabondo ya samaki cha Hong Lin International Ltd kilichopo Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza na kufurahishwa na kiwanda hicho kwa kutumia kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwanza kusafirisha bidhaa zake kwenda nchi za nje.

Naye Mkurugenzi wa kiwanda hicho Bi. Wang Shenghong ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji hali inayomuwezesha kufanya shughuli zake bila matatizo huku akiomba pia baadhi ya tozo zipunguzwe.

Katika siku ya kwanza ya ziara yake Mkoani Mwanza, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki akiwa na Naibu Waziri Mhe. Pauline Gekul wametembelea pia Maabara ya Taifa ya Uvuvi, Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi nchini (FETA) na Kituo cha Ulinzi wa Rasilimali za Uvuvi (FRP).

Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

101 Maoni

  1. Karim Mostafa Benzema https://karim-benzema.prostoprosport-fr.com French footballer, striker for the Saudi club Al-Ittihad . He played for the French national team, for which he played 97 matches and scored 37 goals.

  2. Achraf Hakimi Mou https://achraf-hakimi.prostoprosport-fr.com Moroccan footballer, defender of the French club Paris Saint-Germain “and the Moroccan national team. He played for Real Madrid, Borussia Dortmund and Inter Milan.

  3. Sweet Bonanza https://sweet-bonanza.prostoprosport-fr.com is an exciting slot from Pragmatic Play that has quickly gained popularity among players thanks to its unique gameplay, colorful graphics and the opportunity to win big prizes. In this article, we’ll take a closer look at all aspects of this game, from mechanics and bonus features to strategies for successful play and answers to frequently asked questions.

  4. Bernardo Silva https://bernardo-silva.prostoprosport-fr.com Portuguese footballer, midfielder. Born on August 10, 1994 in Lisbon. Silva is considered one of the best attacking midfielders in the world. The football player is famous for his endurance and performance. The athlete’s diminutive size is more than compensated for by his creativity, dexterity and foresight.

  5. Kylian Mbappe Lotten https://kylian-mbappe.prostoprosport-fr.com Footballeur francais, attaquant du Paris Saint-Germain et capitaine de l’equipe de France. Le 1er juillet 2024, il deviendra joueur du club espagnol du Real Madrid.

  6. Jogo do Tigre https://jogo-do-tigre.prostoprosport-br.com is a simple and fun game that tests your reflexes and coordination. In this game you need to put your finger on the screen, pull out the stick and go through each peg. However, you must ensure that the stick is the right length, neither too long nor too short.

  7. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.prostoprosport-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs footballeurs du monde

  8. Declan Rice https://declan-rice.prostoprosport-fr.com Footballeur anglais, milieu defensif du club d’Arsenal et de l’equipe nationale equipe d’Angleterre. Originaire de Kingston upon Thames, Declan Rice s’est entraine a l’academie de football de Chelsea des l’age de sept ans. En 2014, il devient joueur de l’academie de football de West Ham United.

  9. Declan Rice https://declan-rice.prostoprosport-fr.com Footballeur anglais, milieu defensif du club d’Arsenal et de l’equipe nationale equipe d’Angleterre. Originaire de Kingston upon Thames, Declan Rice s’est entraine a l’academie de football de Chelsea des l’age de sept ans. En 2014, il devient joueur de l’academie de football de West Ham United.

  10. Olivier Jonathan Giroud https://olivier-giroud.prostoprosport-fr.com French footballer, striker for Milan and the French national team. Knight of the Legion of Honor. Participant in four European Championships (2012, 2016, 2020 and 2024) and three World Championships (2014, 2018 and 2022).

  11. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  12. Xavi or Xavi Quentin Sy Simons https://xavi-simons.prostoprosport-fr.com Dutch footballer, midfielder of the Paris Saint-Germain club -Germain” and the Dutch national team, playing on loan for the German club RB Leipzig.

  13. Jamal Musiala https://jamal-musiala.prostoprosport-fr.com footballeur allemand, milieu offensif du club allemand du Bayern et du equipe nationale d’Allemagne. Il a joue pour les equipes anglaises des moins de 15 ans, des moins de 16 ans et des moins de 17 ans. En octobre 2018, il a dispute deux matchs avec l’equipe nationale d’Allemagne U16. En novembre 2020, il a fait ses debuts avec l’equipe d’Angleterre U21.

  14. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-br.com Futebolista noruegues, atacante do clube ingles Manchester City e Selecao da Noruega. Detentor do recorde da Premier League inglesa em gols por temporada.

  15. Carlos Henrique Casimiro https://carloscasemiro.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, volante do clube ingles Manchester United e capitao do Selecao Brasileira. Pentacampeao da Liga dos Campeoes da UEFA, campeao mundial e sul-americano pela selecao juvenil brasileira.

  16. Kylian Mbappe Lotten https://kylianmbappe.prostoprosport-br.com Futebolista frances, atacante do Paris Saint-Germain e capitao da selecao francesa equipe . Em 1? de julho de 2024, ele se tornara jogador do clube espanhol Real Madrid.

  17. Philippe Coutinho Correia https://philippecoutinho.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, midfielder of the English club Aston Villa, playing on loan for the Qatari club Al-Duhail. He is known for his vision, passing, dribbling and long-range ability.

  18. Lionel Messi https://lionelmessi.prostoprosport-br.com e um jogador de futebol argentino, atacante e capitao do clube da MLS Inter Miami. , capitao da selecao argentina. Campeao mundial, campeao sul-americano, vencedor da Finalissima, campeao olimpico. Considerado um dos melhores jogadores de futebol de todos os tempos.

  19. Mohamed Salah https://mohamedsalah.prostoprosport-br.com e um futebolista egipcio que joga como atacante do clube ingles Liverpool e do Selecao egipcia. Considerado um dos melhores jogadores de futebol do mundo. Tricampeao da Chuteira de Ouro da Premier League inglesa: em 2018 (sozinho), 2019 (junto com Sadio Mane e Pierre-Emerick Aubameyang) e 2022 (junto com Son Heung-min).

  20. Karim Mostafa Benzema https://karim-benzema.prostoprosport-br.com Futebolista frances, atacante do clube saudita Al-Ittihad . Jogou pela selecao francesa, pela qual disputou 97 partidas e marcou 37 gols.

  21. Kaka https://kaka.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, meio-campista. O apelido “Kaka” e um diminutivo de Ricardo. Formado em Sao Paulo. De 2002 a 2016, integrou a Selecao Brasileira, pela qual disputou 92 partidas e marcou 29 gols. Campeao mundial 2002.

  22. Harry Kane https://harry-kane.prostoprosport-br.com recebeu um convite para a selecao sub-alterna da Inglaterra pela primeira vez tempo 17 para o torneio juvenil em Portugal. Ao mesmo tempo, o atacante, devido a doenca grave, nao compareceu ao triunfante Campeonato Europeu Sub-17 masculino de 2010 pelos britanicos.

  23. Zlatan Ibrahimovic https://zlatan-ibrahimovic.prostoprosport-br.com Bosnian pronunciation: ibraxi?mo?it?]; genus. 3 October 1981, Malmo, Sweden) is a Swedish footballer who played as a striker. Former captain of the Swedish national team.

  24. Luis Alberto Suarez Diaz https://luis-suarez.prostoprosport-br.com Uruguayan footballer, striker for Inter Miami and Uruguay national team. The best scorer in the history of the Uruguay national team. Considered one of the world’s top strikers of the 2010s

  25. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  26. Gareth Frank Bale https://garethbale.prostoprosport-br.com Jogador de futebol gales que atuou como ala. Ele jogou na selecao galesa. Ele se destacou pela alta velocidade e um golpe bem colocado. Artilheiro (41 gols) e recordista de partidas disputadas (111) na historia da selecao.

  27. Jude Bellingham https://jude-bellingham.prostoprosport-br.com Futebolista ingles, meio-campista do clube espanhol Real Madrid e do Selecao da Inglaterra. Em abril de 2024, ele ganhou o premio Breakthrough of the Year do Laureus World Sports Awards. Ele se tornou o primeiro jogador de futebol a recebe-lo.

  28. мраморные памятники https://uralmegalit.ru

  29. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-br.com e um futebolista polones, atacante do clube espanhol Barcelona e capitao da selecao polonesa. Considerado um dos melhores atacantes do mundo. Cavaleiro da Cruz do Comandante da Ordem do Renascimento da Polonia.

  30. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.prostoprosport-br.com Futebolista belga, meio-campista do Manchester club City” e a selecao belga. Formado pelos clubes de futebol “Ghent” e “Genk”. Em 2008 iniciou sua carreira adulta, fazendo sua estreia no Genk.

  31. Ederson Santana de Moraes https://edersonmoraes.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, goleiro do clube Manchester City e da Selecao Brasileira . Participante do Campeonato Mundial 2018. Bicampeao de Portugal pelo Benfica e pentacampeao de Inglaterra pelo Manchester City.

  32. Virgil van Dijk https://virgilvandijk.prostoprosport-br.com Futebolista holandes, zagueiro central, capitao do clube ingles Liverpool e capitao do a selecao holandesa.

  33. Victor James Osimhen https://victor-osimhen.prostoprosport-br.com e um futebolista nigeriano que atua como atacante. O clube italiano Napoli e a selecao nigeriana.

  34. Roberto Carlos da Silva Rocha https://roberto-carlos.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, left back. He was also capable of playing as both a central defender and a defensive midfielder. World champion 2002, silver medalist at the 1998 World Championships.

  35. Thomas Mueller https://thomasmueller.prostoprosport-br.com is a German football player who plays for the German Bayern Munich. Can play in different positions – striker, attacking midfielder. The most titled German footballer in history

  36. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.prostoprosport-cz.org anglicky fotbalista, zaloznik spanelskeho klubu Real Madrid a anglicky narodni tym. V dubnu 2024 ziskal cenu za prulom roku z Laureus World Sports Awards. Stal se prvnim fotbalistou, ktery ji obdrzel.

  37. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-cz.org je norsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za Anglicky klub Manchester City a norska reprezentace. Rekordman anglicke Premier League v poctu golu za sezonu.

  38. Edson Arantes do Nascimento https://pele.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, forward (attacking midfielder. Played for Santos clubs) and New York Cosmos. Played 92 matches and scored 77 goals for the Brazilian national team.

  39. Kylian Mbappe Lotten https://kylian-mbappe.prostoprosport-cz.org Francouzsky fotbalista, utocnik Paris Saint-Germain a kapitan tymu francouzskeho tymu. 1. cervence 2024 se stane hracem spanelskeho klubu Real Madrid.

  40. Lionel Messi https://lionel-messi.prostoprosport-cz.org je argentinsky fotbalista, utocnik a kapitan klubu MLS Inter Miami. , kapitan argentinske reprezentace. Mistr sveta, vitez Jizni Ameriky, vitez finale, olympijsky vitez. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob.

  41. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-cz.org je polsky fotbalista, utocnik spanelskeho klubu Barcelona a kapitan polskeho narodniho tymu. Povazovan za jednoho z nejlepsich utocniku na svete. Rytir krize velitele polskeho renesancniho radu.

  42. Cristiano Ronaldo https://cristiano-ronaldo.prostoprosport-cz.org je portugalsky fotbalista, utocnik, kapitan Saudske Arabie klubu An-Nasr a portugalskeho narodniho tymu. Mistr Evropy. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob. Nejlepsi strelec v historii fotbalu podle IFFIS a ctvrty podle RSSSF

  43. Alison Ramses Becker https://alisson-becker.prostoprosport-cz.org Brazilsky fotbalista nemeckeho puvodu, brankar klubu Liverpool a brazilsky narodni tym. Je povazovan za jednoho z nejlepsich brankaru sve generace a je znamy svymi vynikajicimi zakroky, presnosti prihravek a schopnosti jeden na jednoho.

  44. Virgil van Dijk https://virgil-van-dijk.prostoprosport-cz.org Nizozemsky fotbalista, stredni obrance, kapitan anglickeho klubu Liverpool a kapitan nizozemskeho narodniho tymu.

  45. Toni Kroos https://toni-kroos.prostoprosport-cz.org je nemecky fotbalista, ktery hraje jako stredni zaloznik za Real Madrid a nemecky narodni tym. Mistr sveta 2014. Prvni nemecky hrac v historii, ktery sestkrat vyhral Ligu mistru UEFA.

  46. Slot machines on the official website and mirrors of the Pin Up online casino https://pin-up.tr-kazakhstan.kz are available for free mode, and after registering at Pin Up Casino Ru you can play for money.

  47. Pin Up casino https://pin-up.salexy.kz official website, Pin Up slot machines play for money online, Pin Up mirror working for today.

  48. Sports in Azerbaijan https://idman-xeberleri.com.az development and popular sports Azerbaijan is a country with rich sports traditions and outstanding achievements on the international stage.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *