KAIMU KATIBU MKUU NISHATI, AKAGUA ENEO LA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAJI YA MTO RUHUDJI

Muonekano wa sehemu moja ya eneo la Mto Ruhudji ambalo limegawanyika mara mbili katika eneo moja, utakapojengwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto huo, lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) walifanya ziara ya kukagua na kuona Jiografia ya eneo hilo lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Januari 12, 2021.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja ameongoza timu ya Wataalamu ilioundwa kutoka Wizara ya Nishati pamoja Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kukagua eneo litakalojengwa mradi wa kuzalisha Umeme kwa kutumia Maporomoko ya Maji ya Mto Ruhudji.

Timu hiyo iliundwa Mahsusi kwa ajili ya kusimamia kazi za awali kabla ya kuanza rasmi kwa utekelezaji wa Ujenzi wa mradi huo, ambapo pia itashirikisha Taasisi na Wizara mbalimbali za serikali.

Ad

Ziara hiyo ilifanyika Januari 12, 2021, ikiwa na lengo la kukagua na kuona Jiografia ya eneo husika lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe.

Picha ya Muonekano wa Mto Ruhudji kutoka juu Mlimani, baada sehemu mbili za mto huo zilizogawanyika, kuungana ukitiririsha maji kuelekea eneo la bondeni, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) walifanya ziara ya kukagua na kuona Jiografia ya eneo hilo lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Januari 12, 2021.

Kwa mujibu wa Mhandisi Masanja, Mradi huo unatarajiwa kuzalisha takribani Megawati 358 ambazo zitaingizwa katika Gridi ya Taifa pindi mradi huo utakapokamilika.

Katika utekelezaji wa mipango ya Serikali, Mradi huo utaanza kujengwa Mwezi Julai 2021 na utatekelezwa ndani ya kipindi cha miezi 36.

Mhandisi Masanja, aliwatoa hofu watanzania kuwa endapo mradi huo utalazimika kuchukuwa baadhi ya maeneo ya wakazi wanaozunguka eneo la mradi, sheria na taratibu za nchi zitafuata ili kila mmoja apate haki yake ikiwemo kulipa fidia.

Vijana waliokuwa wakifanya kazi ya kusafisha njia ili kuwezesha, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kukagua na kuona Jiografia ya eneo litakalojengwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ruhudji, lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Januari 12, 2021.

Na Zuena Msuya Njombe

“Mradi huu ni muhimu sana kwetu na umekuja wakati sahihi kwa kuzingatia uchumi wa viwanda, hivyo kuongeza kasi ya uwekezaji katika ujenzi viwanda vipya, kuongeza na kuboresha uzalishaji wa katika viwanda vilivyopo sasa,vilevile kuendelea kutekeleza azma ya serikali ya kuwa na umeme mwingi, wauhakika, wakutosha na wa gharama nafuu nchi nzima”, alisema Mhandisi Masanja.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka alisema kuwa shirika hilo limeupokea mradi huo, na kwamba wako tayari kuanza utekelezaji wa ujenzi wake kulingana na taratibu na miongozo ya Serikali.

Vilevile alisema kwakuwa TANESCO ndiyo msimamizi mkuu wa miradi ya umeme nchini, watahakikisha kuwa wanasimamia vyema utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo kunzia hatua za awali na kuhakikisha kuwa unakamilika kwa wakati uliopangwa.

“TANESCO tunauzoefu katika kutekeleza miradi Mikubwa na Midogo ya kuzalisha umeme ikiwepo ya Maji, kama vile Mtera, Kidatu, Kihansi na huu mwingine mkubwa kabisa wa Julius Nyerere, pia tuna ile ya Gesi kule Kinyerezi, niwatoe hofu watanzania kuwa mradi huo utakamilika kwa wakati, na endapo kuna maeneo ya watu katika eneo la kuzunguka mradi sheria na kanuni za nchi zitafuata ili kila mmoja aweze kupata haki yake”,  Alisisitiza Dkt. Mwinuka.

Ikumbukwe kuwa Januari 8, 2021, Rais Dkt. John Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya nje ya China, Wang Yi, ambaye alifanya ziara hapa nchini.

Katika mazungumzo yao pamoja na mambo mengine Rais Dkt. Magufuli aliomba ufadhili kutoka Serikali ya China wa ujenzi wa miradi miwili ya kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maporomoko ya Maji ya Mto Ruhudji na Rumakali.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

73 Maoni

  1. The incredible story https://napoli.khvichakvaratskhelia-br.com of a young Georgian talent’s transformation into an Italian Serie A star. Khvicha Kvaraeshvili is a rising phenomenon in European football.

  2. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  3. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  4. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  5. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  6. Earvin “Magic” Johnson https://los-angeles-lakers.magicjohnson.biz is one of the most legendary basketball players in history. NBA history.

  7. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  8. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  9. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  10. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  11. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  12. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  13. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  14. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  15. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  16. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  17. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  18. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  19. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  20. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  21. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  22. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *