Maktaba ya Kila Siku: January 4, 2021

WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI WA AMCOS MBINGA WAKAMATWE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma, Hamza Mwenda ahakikishe anawakamata viongozi wa AMCOS kwa tuhuma za kutoa fedha za wanachama na kuwapa madiwani ili wakawashawishi madiwani wenzao wakubali kubadilisha eneo la ujenzi wa ofosi za Halmashauri ya Wilaya …

Soma zaidi »

MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI MBINGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 4, 2021 amezindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mkoani Ruvuma. Pia, Waziri Mkuu alikagua nyumba 7 za Wakuu wa Idara za  Halmashauri ya Mji wa Mbinga zilizojengwa  na Serikali kwa gharama ya sh. Milioni 321.771. Nyumba za Wakuu wa Idara …

Soma zaidi »

HALMASHAURI ZAONYWA WAFANYABIASHARA KUCHANJA MIFUGO, MIKATABA YAO KUVUNJWA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amepiga marufuku halmashauri zote nchini kutotumia wafanyabiashara kuchanja mifugo na kutaka kuvunjwa kwa mikataba hiyo mara moja. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (31.12.2020) alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Shinyanga ambapo alipokuwa katika josho la kuogeshea mifugo la Kijiji cha …

Soma zaidi »

SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA KUENDELEZA VIJANA WABUNIFU WA TEHAMA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akipata taarifa kuhusu kampuni ya TEHAMA ya Magila Tech iliyoanzishwa na Godfrey Magila (anayezungumza) wakati wa ziara yake kwenye Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema …

Soma zaidi »

HALMASHAURI ZA BAGAMOYO NA MKURANGA MKOA WA PWANI WANUNUA VIFAA VYA UPIMAJI ARDHI

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amefurahishwa na kuzipongeza halmashauri za wilaya ya Mkuranga kwa kununua vifaa vya upimaji na Bagamoyo kwa kuandaa mpango Kabambe. Akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi, viongozi wa mkoa wa pwani na wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo …

Soma zaidi »

WANANCHI WA KARAGWE WALALAMIKA KUKITHIRI KWA VITENDO VYA RUSHWA KWENYE UPATIKANAJI WA NAMBA ZA NIDA

Ikiwa ni Mwendelezo wa ziara za Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa katika vijiji vya kata zinazopatika jimboni Karagwe ambazo zimekuwa na lengo la ya kutoa shukrani kwa wananchi kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi uliofanyika Octoba 28, …

Soma zaidi »

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI ATOA SIKU 60 KWA SUMA JKT KUKAMILISHA UJENZI WA TENKI LA MAJI BUIGIRI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji mhandisi Nadhifa Kemikimba ametoa siku 60 kwa mkandarasi SUMA JKT anayejenga tenki la maji katika eneo Buigiri wilayani Chamwino kuhakikisha anakamilisha kazi hiyo ili wananchi wapate huduma ya maji. Tanki hilo lenye ujazo wa wa lita Milioni 2.5 linajengwa kwa gharama ya Sh Milioni …

Soma zaidi »