Maktaba ya Kila Siku: January 21, 2021

DC CHONGOLO ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA MANISPAA YA KINONDONI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akiwa ameambata na akikagua ujenzi wa vymba vya madarasa vinavyoenga katika Manispaa hiyo, katika ziara hiyo ameambatana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, watendaji pamoja na kamati ya ulinzi na usalama. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo ameipongeza Manispaa …

Soma zaidi »

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAPONGEZA WIZARA KUANZA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO YA VIFURUSHI

Na Prisca Ulomi, WMTH Wizara Mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliyoundwa tarehe 5 Desemba, 2020 imekutana kwa mara ya kwanza na kufanya kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa menejimenti na wakuu wa …

Soma zaidi »

WIZARA YA ARDHI KUANZA UHAMASISHAJI UTEKELEZAJI MPANGO KABAMBE JIJI LA DODOMA

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajiwa kuanza utekelezaji Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwa kuanza kuhamasisha wananchi wa kata za Mpunguzi na Matumbulu kufanya maendeleo kwa kuzingatia mpango huo. Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi …

Soma zaidi »

DKT GWAJIMA AWASILISHA MAJUKUMU, MUUNDO WA WIZARA YA AFYA KWA KAMATI YA BUNGE

Na Mwandishi wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kwa mara ya kwanza imekutana na wataalam wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kupokea taarifa za Muundo na majukumu ya Idara na vitengo ndani ya Wizara hiyo. Taarifa hiyo …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI APONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KWA KASI YAKE YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imempongeza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani kwa kasi yake ya kusambaza umeme vijijini ambapo hadi sasa zaidi ya asilimia 80 ya vijiji vyote nchini vimepelekewa huduma ya umeme.Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya …

Soma zaidi »