KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAKUTANA NA WATENDAJI OFISI YA RAIS TAMISEMI JIJINI DODOMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. David Silinde (Katikati,) akiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kulia ni KatibuMkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Joseph Nyamhanga. Wizara hiyoiliwasilisha mada kuhusu Mchakato wa utungaji wa Sheria Ndogo zaHalmashauri.
Mbunge Jimbo la Chalinze, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo,Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati wa semina ya Utaratibu na Utungaji wa Sheria Ndogo iliyowasilishwa na Ofisi ya Raisi -TAMISEMI, mapema leo 21 Januari. Aliyekaa Kushoto ni Mbunge wa Bukoba Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt. Jason Rweikiza na kulia kwake ni Mbunge wa Viti maalum na Mjumbe wa Kamati hiyo, Bi. Khadija Aboud.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo, Mhe. Jason Rweikizaakizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni JijiniDodoma, kulia ni Makamu Mweyekiti wa Kamati, Mhe. Ridhiwani Kikwete.Katika kikao hicho  Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa  (TAMISEMI)  iliwasilisha mada kuhusu Mchakato wa utungaji waSheria Ndogo za Halmashauri.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria ndogo wakiwa katika kikaa chaKamati Bungeni Jijini Dodoma.Katika kikao hicho Ofisi ya Rais, Tawalaza Mikoa na Serikali za Mitaa  (TAMISEMI) iliwasilisha mada kuhusuMchakato wa utungaji wa Sheria Ndogo za Halmashauri.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *