Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

Waziri Mkuu: Tutahakikisha Wananchi Wote Wanapata Maji

  Aagiza vijiji vyenye shida ya maji Bumbuli vibainishwe Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha wananchi katika vijiji vyote nchini wanapata huduma ya maji safi na salama katika  jimbo la Bumbuli. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Mhandisi wa Maji wa Halmashauri  ya Bumbuli, wilayani Lushoto, Charles  Boy afanye utafiti na kubainisha …

Soma zaidi »

JPM – Ninachowaomba nyinyi wasomi na Watanzania wote tuwe wazalendo, tusikubali kutumiwa

“Ninachowaomba nyinyi wasomi na Watanzania wote tuwe wazalendo, tusikubali kutumiwa, tuchape kazi na tushikamane kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa letu” amesisitiza Mhe. Rais Mafuguli. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo katika kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kujadili hali ya uchumi na siasa nchini …

Soma zaidi »

SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO NA UJERUMANI YA MGAO WA MAPATO YATOKANAYO NA MJUSI MKUBWA ‘DINOSAUR’ KUPITIA WATALII

Serikali ya Tanzania kupitia Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Japhet Hasunga  imesema ipo kwenye hatua za awali za mazungumzo na Serikali ya Ujerumani kuona jinsi itakavyofaidika na mapato yatokanayo na utalii  kupitia mabaki ya Mjusi mkubwa ‘’Dinosaurs ambaye ni kivutio cha kikubwa cha  utalii  katika jumba la  Makumbusho nchini …

Soma zaidi »