Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na Menejimenti ya Ofisi yake (hawapo pichani) mara baada kupokelewa rasmi katika Ofisi za Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …
Soma zaidi »Recent Posts
BASHUNGWA NA ULEGA WAFIKA OFISINI NA KUANZA KAZI RASMI MUDA MCHACHE BAADA YA KUAPISHWA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa alipowasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA KATIKA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri pamoja na Manaibu Waziri katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara …
Soma zaidi »HOSPITALI YA UHURU YAUNGANISHWA NA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, (iliyokuwa Sekta ya Mawasiliano), Dkt Jim Yonazi akikagua uingizaji wa fibre za Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Hospitali ya Uhuru Wilayani Chamwino jijini Dodoma, jana. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliyokuwa Sekta ya …
Soma zaidi »SERIKALI YASAINI MKATABA NA KOREA UTAKAOWEZESHA TANZANIA KUPATA MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU
Balozi wa Korea nchini, Cho Tae-Ick akizungumza baada ya kusaini mkataba huo baina ya nchi yake na Serikali ya Tanzania leo jijini Dodoma. Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Jamhuri ya Korea utakaowezesha kupata mikopo kutoka mfuko wa ushirikiano wa maendeleo ya kiuchumi wa Korea (EDCF). Mkataba huo …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO UJENZI WA OFISI ZA IKULU NA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU JAJI MSTAAFU NSEKELA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 08 Desemba, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Ikulu Mkoani Dodoma na kuelezea kuridhishwa na kiwango na kasi ya ujenzi wa majengo ya ofisi hizo unaofanywa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kupitia …
Soma zaidi »TARURA YAPONGEZWA UJENZI WA DARAJA LA KANKWALE MKOANI RUKWA
Na. Erick Mwanakulya, Rukwa. Wananchi wa Kata ya Senga Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa ujenzi wa Daraja la Kankwale linalounganisha Sumbawanga Asilia na Kankwale. Naye, Mkazi wa Mtaa wa Katambazi Bw. Erod Kastiko ameishukuru Serikali kwa …
Soma zaidi »TANZANIA, NAMIBIA ZAKUBALIANA KUIMARISHA SEKTA ZA UVUVI NA MIFUGO
Katika jitihada za kuendeleza Diplomasia ya Uchumi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekubaliana na Jamhuri ya Namibia kuimarisha sekta za uvuvi na mifugo. Makubaliano hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekubaliana na …
Soma zaidi »GEOFREY MWAMBE, WAZIRI MTEULE WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA
Waziri mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Mbunge wa Masasi, Mhe. Goodfrey Mwambe (shati ya bluu bahali) akipata maelezo ya bidhaa za vifungashio zinachozalishwa hapa nchini wakati alipotembelea Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 3 -9 Desemba, 2020 kwenye Uwanja wa Maonesho wa …
Soma zaidi »KUANZISHWA KWA MFUMO WA KUHIFADHI TAARIFA ZA WAJUMBE WA BODI ZA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA, KUTASAIDIA KUONDOA CHANGAMOTO
Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Neema Musomba akitoa muhtasari wa mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyozinduliwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurean Ndumbaro, …
Soma zaidi »