Recent Posts

Waziri Mkuu: Tutahakikisha Wananchi Wote Wanapata Maji

  Aagiza vijiji vyenye shida ya maji Bumbuli vibainishwe Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha wananchi katika vijiji vyote nchini wanapata huduma ya maji safi na salama katika  jimbo la Bumbuli. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Mhandisi wa Maji wa Halmashauri  ya Bumbuli, wilayani Lushoto, Charles  Boy afanye utafiti na kubainisha …

Soma zaidi »

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO WA KIWANDA CHAI MPONDE

Serikali imemaliza mgogoro uliodumu kwa miaka mingi kati ya wakulima wa chai wa wilaya za Lushoto na Korogwe na kampuni ya Mponde Tea Estate uliosababisha kufungwa kwa kiwanda cha chai cha Mponde baada ya kuagiza kiwanda hicho kianze kazi. “Waziri Mwijage na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilomo Prof. Siza …

Soma zaidi »

TANZANIA YAJIKITA KUFIKIA NCHI YA UCHUMI WA KATI KUPITIA TEHAMA

Serikali imejikita katika kuhakikisha kuwa Sekta ya TEHAMA inakuwa chachu ya kufikia kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ili kutimiza malengo ya millennia ya maendeleo endelevu kabla ya mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Naibu Katibuu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Jim Yonazi jijini …

Soma zaidi »

SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO NA UJERUMANI YA MGAO WA MAPATO YATOKANAYO NA MJUSI MKUBWA ‘DINOSAUR’ KUPITIA WATALII

Serikali ya Tanzania kupitia Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Japhet Hasunga  imesema ipo kwenye hatua za awali za mazungumzo na Serikali ya Ujerumani kuona jinsi itakavyofaidika na mapato yatokanayo na utalii  kupitia mabaki ya Mjusi mkubwa ‘’Dinosaurs ambaye ni kivutio cha kikubwa cha  utalii  katika jumba la  Makumbusho nchini …

Soma zaidi »