Recent Posts

MATUMIZI YA GESI KUZALISHA UMEME YAOKOA USD 10.29 BILIONI

Imeelezwa kuwa, matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme yameokoa fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani bilioni 10.29 ambazo zingetumika kununua mafuta nje ya nchi kwa ajili ya kuzalisha umeme kutoka mwaka 2004 hadi Septemba 2018. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo …

Soma zaidi »

JK – JPM Anafanya Kazi Nzuri Sana!

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo yao Mhe. Rais Mstaafu Kikwete amesema wamekutana kwa utaratibu wa kawaida wa kusalimiana na kutakiana heri katika majukumu. “Nimekuja kumsalimia nakumtakia …

Soma zaidi »

BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA

Yakubali kampuni yake ya Acacia ilifanya makosa katika kuendesha shughuli zake nchini. Ni baada ya kubainika kwa wizi wa madini katika makinikia na serikali kuzuia makontena yote bandarini, Mkuu wa Barrick alijitokeza na kuomba suluhu wayamalize. Baada ya siku chache, timu ya viongozi waandamizi na wanasheria wa Barrick, walifika nchini …

Soma zaidi »

TANZANIA KUWA NA SHERIA YA MIKOPO MIDOGO MIDOGO

Itahusu mikopo midogo midogo kama VIKOBA na ile ya mtu binafsi kukukopesha kwa siku/wiki/ mwezi au miezi miwili, mitatu kwa riba kubwa. Ili kulinda haki na wajibu ya mkopaji na mkopeshaji. Ni kauli ya Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Alisema, “Nchi yetu kwa muda mrefu.. tumekuwa tukienda bila …

Soma zaidi »

Ni Lazima Mshinde! – Rais Magufuli

Rais  Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wachezaji wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars) kuongeza juhudi za kupata ushindi katika michuano mbalimbali inayoshiriki ikiwemo ya kufuzu fainali za michuano ya Afrika (AFCON) itakayofanyika mwakani nchini Cameroon. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokutana na kuzungumza na wachezaji wa …

Soma zaidi »