Recent Posts

SERIKALI HAITAMVUMILIA MKANDARASI YEYOTE ATAKAYECHELEWESHA MIRADI YA NISHATI

Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amesema Serikali haitavumilia mkandarasi yeyote atakayechelewesha Miradi ya Nishati nchini. Mgalu amesema hayo wakati wa  ziara yake katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambapo aliwasha rasmi umeme katika kijiji cha Ibaga Shuleni, Ibaga center na Nkinto Ikurui pamoja na kukagua shughuli za utekelezaji wa …

Soma zaidi »

MSD SASA KUNUNUA, KUSAMBAZA DAWA KWA NCHI ZOTE ZA SADC!

  Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC Dkt. Stergomena L. Tax na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu wamesaini mkataba wa makubaliano ya MSD kuwa mnunuzi Mkuu wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa ajili ya nchi 16 wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo …

Soma zaidi »

UTEKELEZAJI WA MRADI WA REA III WILAYANI IGUNGA

  Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuongeza ukubwa wa transifoma kutoka 100kV hadi kufikia 200kV katika kijiji cha Mwamashimba wilayani Igunga mkoani Tabora kutoka mahitaji makubwa ya umeme. Mgalu alitoa maagizo hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa usambazaji na …

Soma zaidi »

WAZIRI DR. KALEMANI – TUNA UMEME WA KUTOSHA KUWAHUDUMIA WATANZANIA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kwamba, kwa sasa umeme unaozalishwa nchini unatosheleza mahitaji ya wananchi; bali jitihada za kuzalisha umeme mwingi zaidi zinazoendelea kufanywa na Serikali, ni kwa ajili ya matumizi ya baadaye. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Mwekezaji kutoka Kampuni ya Jos’ Hansen ya Ujerumani, Michael Kabourek, …

Soma zaidi »

TESEApp; Yazinduliwa Rasmi Leo!

• Haya ni Matokeo ChanyA+ ya matumizi sahihi ya SIMU ZA MKONONI, TABLETS, LAPTOPS na KOMPUTERS KWA WANAFUNZI WA NCHI YETU! • Ni ‘application’ inayoweza kupakuliwa (download) katika aina zote za SMART PHONE, TABLETS, LAPTOPS na COMPUTERS.   • Imebuniwa na kutengeneza vijana wazawa, wataalamu wa Kitanzania (Made in Tanzania …

Soma zaidi »

UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA WASHIKA KASI

  Ni barabara yenye urefu wa km 66.9 ambayo haikuwahi kujengwa tangu Uhuru, ni  moja ya maamuzi ya Serikali ya Awamu ya Tano  baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kuamua kwa dhati kutekeleza kikamilifu ILANI ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2015 …

Soma zaidi »