Recent Posts

MAKAMU WA RAIS AKATAA KUZINDUA STENDI YA MAILI MOJA KIBAHA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailimoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada ya kufanya uchunguzi wiki mbili ama tatu zijazo atakwenda …

Soma zaidi »

HAKI ZOTE ZA FIDIA KWA WANANCHI ZITALIPWA – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali italipa fidia kwa wananchi katika maeneo ambayo miradi ya Serikali imepita. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Manerumango kwenye uwanja wa shule ya msingi Maneromango wilayani Kisarawe mkoani Pwani. “Nataka niwahakikishie wananchi wote kila kipande cha ardhi cha mtu …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA PWANI

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo katika mkoa wa Pwani ambapo leo ametembelea Wilaya ya Mkuranga. Katika ziara yake wilayani Mkuranga Makamu wa Rais alitembelea kiwanda cha kutengeneza Gypsum (Gypsum Board) cha Knauf kilichopo Mwanambaya, akiwa kiwandani hapo Makamu wa …

Soma zaidi »

MAONESHO HAYA NI FURSA MUHIMU KWA WAJASIRIAMALI – Dkt. TIZEBA

Waziri wa kilimo Dkt Charles Tizeba amewataka wajasiriamali kote nchini kuchangamkia fursa ya kutembelea katika Maonesho ya Kitaifa ya Viwanda Vidogo (SIDO), yanayofanyika katika Viwanja vya Nyakabindi katika Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu. Katika maonesho hayo ambayo yalianza Oktoba 23 mwaka huu, Dkt Tizeba amesema kuwa hiyo ni …

Soma zaidi »

TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA

#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA  

Soma zaidi »

TUNAFIKISHA MAJI SAFI VIJIJINI KWA 85% 2020 – MAMA SAMIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya tano imeendelea kutekeleza ahadi ya kusambaza maji mijini na vijijini ambapo mpaka ifikapo mwaka 2020 inategemea maji yatakuwa yamefika vijijini kwa asilimia 85% na mjini asilimia 90%. Makamu wa Rais ameyasema hayo …

Soma zaidi »