AGIZO LA RAIS MAGUFULI KWA TAKUKURU

• Amuagiza Mkurugenzi Mkuu kuupitia upya muundo wa utendaji wa tasisi hiyo

DIWANI.png

• Ataka Wakuu wa TAKUKURU wa Mikoa na Wilaya wawe na nafasi ya kutolea maamuzi kesi za rushwa zilizo ndani ya eneo lao la kazi bila kuchelewa au kusubiri kibali kutoka Makao Makuu ya taasisi hiyo.

kwani #SisiNiTanzaniaMpyA+ inayokabiliana na rushwa kwa kasi ili kujenga Taifa lenye uchumi imara na madhubuti kwa Watanzania wote.

#MATAGA

tazama video hii ambayo Mhe. Rais ,agufuli alipokuwa akimuagiza Mkurugenzi Mkuu mpya wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athmani.

https://vimeo.com/user63874414/review/291881557/28e412231f

 

 

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.