Maktaba ya Mwezi: October 2018

WANANCHI WAONYWA KUACHA KUFANYA SHUGHULI ZA KIUCHUMI NDANI YA ENEO LINALOJENGWA SGR!

Ni ndani ya mita 30 kila upande wa mradi wa SGR Jeshi la Polisi lakamata baadhi na kupiga marufuku kwa mtu yeyote kufanya shughuli za kiuchumi ndani eneo la mradi wa reli ya kisasa ya umeme (Standard Gauge Ralway) Hairuhusiwi kwa yeyote kupita au kutumia kwa wakati wote njia zinazotumiwa …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU KILIMO ENG. MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI

Katika kuongeza ufanisi kwenye matumizi ya umwagiliaji katika kilimo kama sehemu ya utekelezaji wa Programu ya kuendeleza sekta ya kilimo awamu ya pili (Agricultural Sector Development Programme -Phase Two -ASDP II) rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe amekabidhiwa Tume ya Umwagiliaji na katibu Mkuu wa wizara ya maji …

Soma zaidi »

UTEKELEZAJI WA MRADI WA REA III WILAYANI IGUNGA

  Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuongeza ukubwa wa transifoma kutoka 100kV hadi kufikia 200kV katika kijiji cha Mwamashimba wilayani Igunga mkoani Tabora kutoka mahitaji makubwa ya umeme. Mgalu alitoa maagizo hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa usambazaji na …

Soma zaidi »

WAZIRI DR. KALEMANI – TUNA UMEME WA KUTOSHA KUWAHUDUMIA WATANZANIA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kwamba, kwa sasa umeme unaozalishwa nchini unatosheleza mahitaji ya wananchi; bali jitihada za kuzalisha umeme mwingi zaidi zinazoendelea kufanywa na Serikali, ni kwa ajili ya matumizi ya baadaye. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Mwekezaji kutoka Kampuni ya Jos’ Hansen ya Ujerumani, Michael Kabourek, …

Soma zaidi »