![BALOZI KAIRUKI](https://matokeochanya.co.tz/wp-content/uploads/2019/03/CHINA-4.png)
- Makampuni ya Tanzania yametafutiwa fursa ya kutafuta masoko ya bidhaa zake nchini China kwa njia ya mtandao, hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya China-Africa E-Commerce ndugu Zhigang Hou alipokutana na Balozi wa Tanzania Nchini China Mbelwa Kairuki jijini Chengdu katika jimbo la Sichuan.
![BALOZI](https://matokeochanya.co.tz/wp-content/uploads/2019/03/CHINA-3.png)
![CHINA-2](https://matokeochanya.co.tz/wp-content/uploads/2019/03/CHINA-2.png)
- Makampuni ya Tanzania yanayohitaji kuuza bidhaa katika soko la China yamekaribishwa kutumia mtandao (E-commerce platform) – https://mall.ca-b2b.com/index ulioanzishwa mahususi kwa ajili ya kuyakutanisha makampuni yanayonunua na kuuza bidhaa mbalimbali katika masoko ya China na Afrika.
Ad