BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA KUIPANDISHA DARAJA TANZANIA

  • Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inatarajia kuipandisha daraja Tanzania kutoka katika hadhi ya kunufaika na Mfuko wa Maendeleo wa Benki (ADF) hadi kuwa na hadhi itakayoiwezesha Tanzania kuweza kupata rasilimali fedha zaidi kupitia dirisha la African Development Bank (ADB) la Benki ya Maendeleo ya Afrika.
FM 5-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango (Mb) (kushoto), akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Bw. Alex Mubiru (kulia) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Jijini Dodoma.
  • Endapo Tanzania itafanikiwa kupandishwa hadhi, nchi itaweza kunufaika na ongezeko la fedha kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika kutoka Dola za Marekani milioni 350 kwa mwaka hadi Dola za Marekani milioni 812 kwa mwaka.
  • Hayo yamesemwa Jijini Dodoma na Mwakilishi Mkazi wa Benki hiyo Dr. Alex Mubiru alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha na Mipango-Treasury Square.
FM 1-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) akiwa na mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Bw. Alex Mubiru aliomtembelea na kufanya naye mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Hazina-Treasury Squire, Jijini Dodoma.
  • Katika mazungumzo hayo, Dr. Alex ameeleza kuwa hatua hiyo ya kupandishwa hadhi ama kupandishwa daraja inatokana na uchumi wa nchi kufanya vizuri hususani katika maeneo ya kasi ya ukuaji wa uchumi na kuwa na deni himilivu.
FM 2-01
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Alex Mubiru akielezea jambo wakati wa mazungumzo yake na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dodoma.
  • “Hatua hiyo itaiwezesha Tanzania kupata fedha zaidi kutoka katika Benki hiyo na kuwezesha utekelezaji wa miradi ya maendeleo na vipaumble kwa Serikali” Alisisitiza Bw. Mubiru.
  • Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Bw. Alex Mubiru, amesema kuwa benki hiyo inajivunia kufanya kazi na Tanzania ambayo ni miongoni mwa nchi Waasisi wa Benki hiyo.
FM 3-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango (Mb), akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Alex Mubiru (kulia) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Jijini Dodoma.
  • Katika mazungumzo yao, Dkt. Mpango ameeleza kuwa Serikali inajivunia kufanya kazi pamoja na Benki ya AfDB kwa kuwa benki hiyo imekuwa na masharti rafiki katika upatikanaji wa mikopo.
  • Dkt. Mpango amesema kuwa Benki hiyo ina mtazamo chanya katika maendeleo ya watu na kuwa dira katika mipango ya maendeleo na kuahidi kushirikiana nao vyema katika kukuza uchumi wa nchi.
FM 6-01
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Alex Mubiru akielezea jambo wakati wa mazungumzo yake na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango (Mb), Jijini Dodoma.
  • Aidha, Waziri Mpango ameipongeza benki hiyo kwa kukubali kutekeleza miradi ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko Dodoma (km110.2) kwa kiwango cha lami pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Dodoma (Msalato) na kubainisha kuwa uamuzi huo ni mzuri kwani licha ya Dodoma kuwa ni Makao Makuu ya nchi lakini pia miundombinu hii itaunganisha na kuchochea ukuaji wa uchumi na biashara katika mikoa mingi nchini pamoja na nchi jirani. Na Saidina Msangi na Josephine Majura, WFM, Dodoma
Ad

Unaweza kuangalia pia

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo …

234 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Top sports news https://idman-azerbaycan.com.az photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  3. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  4. Каталог рейтингов хостингов https://pro-hosting.tech на любой вкус и под любые, даже самые сложные, задачи.

  5. Сантехник — вызов сантехника на дом в Москве и Московской области в удобное для вас время.

  6. Play PUBG Mobile https://pubg-mobile.com.az an exciting world of high-quality mobile battle royale. Unique maps, strategies and intense combat await you in this exciting mobile version of the popular game.

  7. The Dota 2 website https://dota2.com.az Azerbaijan provides the most detailed information about the latest game updates, tournaments and upcoming events. We have all the winning tactics, secrets and important guides.

  8. Latest news about games for Android https://android-games.com.az, reviews and daily updates. Read now and get the latest information on the most exciting games

  9. The most popular sports site https://sports.com.az of Azerbaijan, where the latest sports news, forecasts and analysis are collected.

  10. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  11. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  12. Pin-up Casino https://pin-up.admsov.ru/ is an online casino licensed and regulated by the government of Curacao . Founded in 2016, it is home to some of the industry’s leading providers, including NetEnt, Microgaming, Play’n GO and others. This means that you will be spoiled for choice when it comes to choosing a game.

  13. Pin Up official https://pin-up.adb-auto.ru website. Login to your personal account and register through the Pin Up mirror. Slot machines for real money at Pinup online casino.

  14. Pin Up Casino https://pin-up.noko39.ru Registration and Login to the Official Pin Up Website. thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino. Come play and get big bonuses from the Pinup brand today

  15. Pin Up online casino https://pin-up.webrabota77.ru/ is the official website of a popular gambling establishment for players from the CIS countries. The site features thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino.

  16. Реальные анкеты проституток https://prostitutki-213.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  17. Смотрите онлайн сериал Отчаянные домохозяйки https://domohozyayki-serial.ru в хорошем качестве HD 720 бесплатно, рейтинг сериала: 8.058, режиссер сериала: Дэвид Гроссман, Ларри Шоу, Дэвид Уоррен.

  18. Buy TikTok followers https://tiktok-followers-buy.com to get popular and viral with your content. All packages are real and cheap — instant delivery within minutes. HQ followers for your TikTok. 100% real users. The lowest price for TikTok followers on the market

  19. Pin Up Casino https://pin-up.sibelshield.ru official online casino website for players from the CIS countries. Login and registration to the Pin Up casino website is open to new users with bonuses and promotional free spins.

  20. Изготовление памятников и надгробий https://uralmegalit.ru по низким ценам. Собственное производство. Высокое качество, широкий ассортимент, скидки, установка.

  21. Pin Up Casino https://pin-up.ergojournal.ru приглашает игроков зарегистрироваться на официальном сайте и начать играть на деньги в лучшие игровые автоматы, а на зеркалах онлайн казино Пин Ап можно найти аналогичную витрину слотов

  22. Pin-up casino https://pin-up.jes-design.ru популярное онлайн-казино и ставки на спорт. Официальный сайт казино для доступа к играм и другим функциям казино для игры на деньги.

  23. Pin Up https://pin-up.fotoevolution.ru казино, которое радует гемблеров в России на протяжении нескольких лет. Узнайте, что оно подготовило посетителям. Описание, бонусы, отзывы о легендарном проекте. Регистрация и вход.

  24. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  25. Pinup казино https://pin-up.vcabinet.kz это не просто сайт, а целый мир азартных развлечений, где каждый может найти что-то свое. От традиционных игровых автоматов до прогнозов на самые популярные спортивные события.

  26. Latest Diablo news https://diablo.com.az game descriptions and guides. Diablo.az is the largest Diablo portal in the Azerbaijani language.

  27. Latest World of Warcraft (WOW) tournament news https://wow.com.az, strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Azerbaijani language

  28. Azerbaijan NFL https://nfl.com.az News, analysis and topics about the latest experience, victories and records. A portal where the most beautiful NFL games in the world are generally studied.

  29. Discover exciting virtual football in Fortnite https://fortnite.com.az. Your central hub for the latest news, expert strategies and interesting e-sports reports. Collecting points with us!

  30. The latest analysis, tournament reviews and the most interesting features of the Spider-Man game https://spider-man.com.az series in Azerbaijani.

  31. Read the latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike.net.az, watch the most successful tournaments and become the best in the world of the game on the CS2 Azerbaijan website.

  32. Mesut Ozil https://mesut-ozil.com.az latest news, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about one of the best football players Mesut Ozil.

  33. Explore the extraordinary journey of Kilian Mbappe https://kilian-mbappe.com.az, from his humble beginnings to global stardom. Delve into his early years, meteoric rise through the ranks, and impact on and off the football field.

  34. Latest news, statistics, photos and much more about Pele https://pele.com.az. Get the latest news and information about football legend Pele.

  35. Gianluigi Buffon https://buffon.com.az Italian football player, goalkeeper. Considered one of the best goalkeepers of all time. He holds the record for the number of games in the Italian Championship, as well as the number of minutes in this tournament without conceding a goal.

  36. Paulo Bruno Ezequiel Dybala https://dybala.com.az Argentine footballer, striker for the Italian club Roma and the Argentina national team. World champion 2022.

  37. Paul Labille Pogba https://pogba.com.az French footballer, central midfielder of the Italian club Juventus. Currently suspended for doping and unable to play. World champion 2018.

  38. Канал для того, чтобы знания и опыт, могли помочь любому человеку сделать ремонт https://tvin270584.livejournal.com в своем жилище, любой сложности!

  39. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.liverpool-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  40. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.liverpool-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs joueurs du monde.

  41. Paul Labille Pogba https://paul-pogba.psg-fr.com Footballeur francais, milieu de terrain central du club italien de la Juventus. Champion du monde 2018. Actuellement suspendu pour dopage et incapable de jouer.

  42. The young talent who conquered Paris Saint-Germain: how Xavi Simons became https://xavi-simons.psg-fr.com leader of a superclub in record time.

  43. Kylian Mbappe https://kylian-mbappe.psg-fr.com Footballeur, attaquant francais. Il joue pour le PSG et l’equipe de France. Ne le 20 decembre 1998 a Paris. Mbappe est francais de nationalite. La taille de l’athlete est de 178 cm.

  44. Paul Pogba https://psg.paul-pogba-fr.com is a world-famous football player who plays as a central midfielder. The player’s career had its share of ups and downs, but he was always distinguished by his perseverance and desire to win.

  45. Kylian Mbappe https://psg.kylian-mbappe-fr.com Footballeur, attaquant francais. L’attaquant de l’equipe de France Kylian Mbappe a longtemps refuse de signer un nouveau contrat avec le PSG, l’accord etant en vigueur jusqu’a l’ete 2022.

  46. Изготовление, сборка и ремонт мебели https://shkafy-na-zakaz.blogspot.com для Вас, от эконом до премиум класса.

  47. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.real-madrid-ar.com Footballeur belge, gardien de but du Club espagnol “Real Madrid”. Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Trois fois vainqueur du Trophee Ricardo Zamora, decerne chaque annee au meilleur gardien espagnol

  48. Forward Rodrigo https://rodrygo.real-madrid-ar.com is now rightfully considered a rising star of Real Madrid. The talented Santos graduate is compared to Neymar and Cristiano Ronaldo, but the young talent does not consider himself a star.

  49. Khvicha Kvaratskhelia https://khvicha-kvaratskhelia.real-madrid-ar.com midfielder of the Georgian national football team and the Italian club “Napoli”. Became champion of Italy and best player in Serie A in the 2022/23 season. Kvaratskhelia is a graduate of Dynamo Tbilisi and played for the Rustavi team.

  50. Vinicius Junior https://vinisius-junior.com.az player news, fresh current and latest events for today about the player of the 2024 season

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *