May 27, 2020
Makamu wa Rais, MAWASILIANO IKULU, Waziri Mkuu, WIZARA MALIASILI, WIZARA YA AFYA, WIZARA YA ARDHI, WIZARA YA ELIMU, WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, WIZARA YA HABARI,UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, WIZARA YA MADINI, Wizara ya Maji, WIZARA YA MAMBO YA NJE, WIZARA YA NISHATI, WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO, WIZARA YA VIWANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …
Soma zaidi »
May 27, 2020
SADC, Taarifa ya Habari, WIZARA YA MAMBO YA NJE
Eric Msuya – MAELEZO Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa …
Soma zaidi »
May 27, 2020
SADC
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge (aliyevaa koti jeusi) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam Mkutano wa Baraza la Mawaziri …
Soma zaidi »
May 27, 2020
MKOA WA PWANI, Tanzania MpyA+
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkoa wa Pwani, umekemea wakulima wa ufuta waliofanya udanganyifu msimu wa ununuzi uliopita kwa kuchanganya ufuta na mchanga, kwani umesababisha doa kwenye soko hivyo kwasasa mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani ,ambao utadhibiti udanganyifu na kuinua pato la mkulima.Aidha minada ya ununuzi wa ufuta mwaka huu …
Soma zaidi »
May 27, 2020
MKOA WA KAGERA, WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO
Na Allawi Kaboyo,MulebaKufatia kuwepo kwa vitendo vya uvuvi Haramu katika ziwa Victoria,Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amekabidhi boti tatu mpya kwa watendaji wa Kata za Bumbire na Ikuza na boti moja kubwa kwa sekta ya uvuvi kwa lengo la kudhibiti uvuvi haramu wilayani Muleba.Zoezi hilo lilifanyika …
Soma zaidi »
May 26, 2020
WIZARA YA MAMBO YA NJE
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Dk. Imni Patterson, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini kwa lengo la kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na …
Soma zaidi »
May 26, 2020
Taarifa Vyombo vya Habari, WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, WIZARA YA MADINI
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 …
Soma zaidi »
May 26, 2020
WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO
Na. Geofrey A. Kazaula Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA unaendelea na mpango wake wa kujenga barabara za lami kupitia mradi wa Agri-Conect ili kuhakikisha wakulima wanaweza kusafirisha mazao yao kwa urahisi kutoka mashambani hadi viwandani na sokoni. Mradi huo wa Agri–Conect unaotekelezwa katika Mikoa ya Mbeya na …
Soma zaidi »
May 26, 2020
Taarifa Vyombo vya Habari, WIZARA MALIASILI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha kwa pamoja Wadau wa Uhifadhi kujadili jinsi ya kulinda shoroba ya Kwakuchinja pamoja na maeneo mengine muhimu ya Wanyamapori katika ikolojia ya Tarangire na Manyara katika mkutano uliofanyika katika wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kushoto ni Mkuu wa …
Soma zaidi »
May 26, 2020
Taarifa Vyombo vya Habari, Tanzania MpyA+, WIZARA YA MAMBO YA NJE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akitoa salamu za shukrani kwa Waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano,Dayosisi ya Dar Es Salaam kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni kilele cha siku tatu …
Soma zaidi »