Maktaba ya Mwezi: May 2020

WAZIRI JAFO AMTAKA RAS WA MKOA WA PWANI KUANZA NA MIRADI AMBAYO HAIJAKAMILIKA

Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo amemtaka Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere kuanza utendaji kazi wake kwa kufanyia kazi  miradi ya mabweni, mabwalo na vituo …

Soma zaidi »

MUDA WA KUKAMILISHA MIRADI HAUJABADILIKA – WAZIRI KALEMANI

Veronica Simba na Zuena Msuya – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, awamu ya tatu, mzunguko wa kwanza na kujadiliana maendeleo ya mradi huo unaotekelezwa nchini kote. Kikao hicho kilichofanyika, Mei 21, 2020 jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa …

Soma zaidi »

BODI YA UTALII TANZANIA: TUPO TAYARI KUANZA KUPOKEA WATALII

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema ipo tayari kuanza kupokea watalii wakati wowote kuanzia sasa kufuatia hatua ya Serikali kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini hatua iliyotokana na kupungua kwa kasi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (CORONA) duniani. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Saalam na …

Soma zaidi »

WATANZANIA WALIOKUWA WAMEKWAMA ABU DHABI WAREJEA NCHINI

Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) wamerejea Tanzania na kutoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na jitihada za kuwarejesha nyumbani. Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) baada ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA IKULU YA CHAMWINO

Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi John Simbachawene kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya.Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Phaustine Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 21 Mei 2020. Rais, Dkt. John Pombe Magufuli …

Soma zaidi »

TUMEKUBALIANA NA RAIS KENYATTA MAWAZIRI WETU WA UCHUKUZI NA WAKUU WA MIKOA KUKUTANA KUMALIZA TATIZO LA MIPAKANI – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt John Magufuli amesema kuwa Viongozi wa Mikoa wasitatue matatizo kwa jazba, na badala yake amewataka viongozi hao kukutana na kutatua changamoto iliyopo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nzega mkoani Tabora (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Singida. Rais …

Soma zaidi »

KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI – MKURUGENZI WA JIJI LA DODOMA

Sehemu ya ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Dodoma inavyoonekana baada ya kukamilika Charles James, Michuzi TVJiji la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ATOA ONYO KWA MTENDAJI MKUU WA TEMESA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimpa onyo, Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Mhandisi Japhet Maselle, baada ya kutoridhishwa na utendaji wake, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma, May 19, 2020, katikati ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe. ( Picha na …

Soma zaidi »