Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Juni, 2020 ametengua uteuzi wa viongozi 3 wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo na …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: June 19, 2020
WAZIRI WA AFYA AZINDUA TIBA MTANDAO MOI, ATAKA IUNGANISHWE BURUNDI, RWANDA, COMORO
WAMJW-Dar es Salaam Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezindua kituo cha Tiba Mtandao cha Taifa kilichopo Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) ambacho kitawahudumia wagonjwa wa hospitali za halmashauri, wilaya, rufaa na hospitali nyingine nchini.Kabla ya kuzindua kituo hicho, Waziri wa Afya, Ummy …
Soma zaidi »SERIKALI KUONGEZA IDADI YA NDEGE KUBEBA MINOFU YA SAMAKI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba, wakati wa mkutano wa pili wa kujadili namna ya kurahisisha usafirishaji wa minofu ya samaki kutokea Kiwanja cha Ndege cha Mwanza uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imewaahidi wafanyabiashara wa minofu ya samaki kuongeza idadi …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AZITAKA OFISI ZA HALMASHAURI NA WILAYA NCHINI KUZITUMIA OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA
Na Munir Shemweta, WANMM KILIMANJARO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi ya jengo la ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Hai lililopo Bomang’ombe na ofisi pamoja na nyumba za Watumishi wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI
Makamu wa Rais wa Jarmhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wakiwa na Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye mara baada ya Rais Ndayishimiye kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Burundi Juni 18,2020 katika Uwanja wa Ingoma Stadium Nchini …
Soma zaidi »