Veronica Simba – Sengerema Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, ametoa onyo kali kwa wazalishaji binafsi wa umeme, wanaowatoza wananchi gharama kubwa tofauti na bei elekezi ya Serikali. Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kahunda, wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Julai 7, 2020, Waziri alisisitiza kuwa gharama stahiki ya umeme …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 8, 2020
SERIKALI KUIMARISHA USAFIRI WA MAJINI – WAZIRI MKUU
Eneo la bandari ya Mtwara linalopanuliwa katika maboresho yanayofanywa na serikali ili kukuza uwezo wa bandari hiyo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua upanuzi huo Julai 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha …
Soma zaidi »SERIKALI KUFIKISHA UMEME MGODI WA STAMIGOLD SEPTEMBA
Veronica Simba – Biharamulo Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha kuwa, ifikapo mwishoni mwa mwezi Septemba, mwaka huu, umeme uwe umefikishwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold uliopo Biharamulo. Alitoa maelekezo hayo jana, Julai 6, 2020 alipotembelea na kukagua maendeleo ya …
Soma zaidi »HAKUNA KUHUISHA HATI ZA MIAKA 33 KWA WAMILIKI WA ARDHI WASIOENDELEZA VIWANJA- WAZIRI LUKUVI
Na Munir Shemweta, WANMM GEITAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Makamishna Wasaidizi wa Ardhi katika ofisi za ardhi za mikoa nchini kuhakikisha wamiliki wote wa ardhi wasioendeleza viwanja vyao tangu kumilikishwa hawahuishi miliki zao za miaka 33 ili kupatiwa za miaka 99.Lukuvi ametoa kauli hiyo …
Soma zaidi »