Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezipongeza nchi za Tanzania na Mauritius kwa kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati na juu licha ya changamoto mbalimbali za kiuchumi zilizoikumba Jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 15, 2020
MIMI NASEMA OKTOBA UTAENDELEA KUWA RAIS WA TANZANIA – JOHN CHEYO
Alichozungumza Mwenyekiti ya UDP John Cheyo Ikulu Jijini Dodom Julai 12, 2020 “Mhe. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania na mimi nasema Oktoba utaendelea kuwa Rais wa Tanzania, nasema hili kwa kujivuna kabisa jana Mhe. Rais kidogo nilipata wivu ulikuwa unamwinua Mrema asante Mrema kwa kutuunga mkono na kumbe …
Soma zaidi »RAI YANGU KWA WANANCHI WATANZANIA TUUNGANE TUWE KITU KIMOJA – WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZEGO PINDA
Alichozungumza Waziri Mkuu Mstaafu Mizego Pinda akiwa Ikulu Chamwino jijini Dodoma, Julai 12, 2020 “Mhe Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, Waheshimiwa Viongozi wote wa meza kuu, Mhe. Rais nimepewa nafasi hii kwanza nishukuru sidhani kama nilistahili lakini niseme mambo mawili” “jambo la kwanza Mhe. …
Soma zaidi »NEC INATARAJIA KUTANGAZA HIVI KARIBUNI MABADILIKO YA MAJINA KWA BAADHI YA MAJIMBO
Janeth Raphael, Michuzi TV Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kutangaza hivi karibuni mabadiliko ya majina kwa baadhi ya majimbo, huku akisema kuwa inatarajia kutoa ajira kwa watu 390,824 watakaoshiriki usimamizi wake kwenye vituo 75,000. Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera, aliyasema hayo jana …
Soma zaidi »