Balozi Joseph Sokoine Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) ukiongozwa na Bi. Christine Musisi – Mwakilishi Mkazi mara baada ya kukamilika kwa kikao cha mashirikiano baina yao. Wengine katika picha ni wataalamu …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 17, 2020
KULINDA AFYA KWA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA, ULAJI UNAOFAA, KUFANYA MAZOEZI – PROF. JANABI
Kulinda afya kwa kuzingatia mtindo bora wa maisha, ulaji unaofaa, kufanya mazoezi, kuchunguza afya mara kwa mara na kuepukana na mtindo usiofaa wa maisha, ni siri pekee itakayowawezesha Watanzania kufurahia ‘matunda’ Tanzania kuingia nchi zenye Uchumi wa Kati. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA RC, KM, NKM NA DC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais na anachukua …
Soma zaidi »WAKAZI 58,821 KUNUFAIKA NA HUDUMA YA MAJI MKOANI IRINGA
Ukaguzi ukiendelea ujenzi wa tanki la kuifadhia maji Wakazi 58,821 wa tarafa za Ismani na Kilolo katika Halmashauri za Wilaya za Iringa na Kilolo kwa pamoja wanatarajia kunufaika na huduma ya majisafi na salama pindi Mradi wa Maji Ismani-Kilolo utakapokamilika mwezi Juni, 2021. Mradi huo unaotekelezwa kwa kutumia wataalam wa …
Soma zaidi »JKT YATANGAZA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MWAKA 2020
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza majina ya vijana waliohitimu kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara waliochagulwa kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2020 . Akizungumza leo Julai 16, 2020 Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, Mkuu wa …
Soma zaidi »