Akizindua Baraza hilo, Mwenyekiti wake ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema hili ni jukwaa pekee linatoa nafasi ya kukutana na wadau wa sekta binafsi na kujadiliana fursa zakiuchumi ikiwa ni pamoja na utatuzi wa changamoto utakaoleta tija katika mustakabali wa nchi yetu inayosimamia sera …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 3, 2020
TARURA YAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU MKOANI NJOMBE
Muonekano wa ujenzi wa Daraja la Ruhuji unaondelea lenye urefu wa Mita 22 liliopo Halmashauri ya Mji wa Njombe linalounganisha Kata ya Ramadhani na Mabatini likiwa limefikia asilimia 50. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), unaendelea kutekeleza miradi mbalimbali katika Mkoa wa Njombe ili kuwezesha wananchi kusafiri na …
Soma zaidi »BILIONI 4 ZATENGWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU JANGWANI
Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya jangwani mara baada ya uhakiki wa makisio hayo kukamilika na kujiridhisha. Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa Bodi ya mfuko huo, Mwenyekiti wa Bodi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AWAONYA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa onyo kali kwa wataalamu wa ununuzi na ugavi ambao bado wanaendekeza vitendo viovu kama rushwa, upendeleo, kuingilia michakato ya ununuzi kwamba waache mara moja kwani Serikali haitomhurumia yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo. Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumatano, Desemba 2, 2020) alipofungua Kongamano …
Soma zaidi »RAIS WA UFARANSA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUIWEZESHA TANZANIA KUINGIA KATIKA NCHI YA UCHUMI WA KATI
Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron amemwandikia barua ya pongezi Rais wa Jamhuri ya wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia katika hadhi ya nchi ya uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda uliotarajiwa. Katika barua hiyo Rais wa Ufaransa Mhe Emmanuel Macron amempongeza …
Soma zaidi »RAIS WA UFARANSA AMWANDIKIA BARUA RAIS DKT. MAGUFULI
Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli itajikita zaidi katika kuboresha uwekezaji wa ndani na nje ya nchi na kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kujenga uchumi wa nchi. Waziri wa Mambo ya …
Soma zaidi »SHIDA YA MAJI KIBINDU KUWA HISTORIA – MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE
Mbunge wa Chalinze Ndg. Ridhiwani Kikwete amewahakikishia wananchi wa Kata ya Kibindu kuwa shida ya maji itabaki kuwa historia, akiongea mbele ya wananchi wa Kijiji cha Kwamduma, kata ya Kibindu Mh.Mbunge alimshukuru Mheshimiwa Rais na Serikali kwa hatua zinazochukuliwa kupata ufumbuzi wa shida ya maji katika kata hiyo. Maneno hayo …
Soma zaidi »