Maktaba ya Kila Siku: December 11, 2020

WAZIRI WA MADINI BITEKO AZUIA URASIMU KATIKA SEKTA YA MADINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila akizungumza jambo wakati wa kikao cha menejimenti cha kumkaribisha rasmi Waziri wa Madini Doto Biteko ofisini tarehe 10 Disemba, 2020 Mtumba Jijini Dodoma. Asteria Muhozya na Steven Nyamiti, Dodoma Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wamekumbushwa kuzingatia maeneo muhimu …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUJIPANGA UPYA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka watendaji wa sekta ya ardhi kujipanga upya kwa kuwa wabunifu katika utekelezaji majukumu na kusisitiza kwamba hatomvumilia mtendaji atakyeshindwa kutekeleza majukumu yake. Aidha. Alisema katika kuhakikisha utendaji wa sekta …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AKUTANA NA MENEJIMENTI WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI

Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akiongea katika kikao cha Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara hiyo mara baada ya kuapishwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, Mji wa Serikali …

Soma zaidi »

MSIKUBALI KURUBUNIWA NA WASIOTUTAKIA MEMA – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania hususani vijana wasikubali kurubuniwa na makundi ya watu wasio na mapenzi mema na nchi yetu ambao watataka kuwatumia kwa maslahi yao binafsi na hatimaye kuhatarisha usalama na amani ya nchi yao. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo (Alhamisi, Desemba 10, 2020) wakati akifungua mkutano Mkuu wa …

Soma zaidi »