MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI CHA MAHAKAMA YA TANZANIA KINACHOJENGWA MJINI MOROGORO

Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Mahakama ya Tanzania kinachojengwa Mjini Morogoro.

Jengo hilo litajumuisha Ngazi zote za Mahakama na Wadau wote wa shughuli za Kimahakama,

Ad

Ujenzi wa Jengo hilo unatarajia kukamilika ifikapo mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu. Picha na Maelezo Tv

Ad

Unaweza kuangalia pia

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI, MEI MOSI

Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi! Ni siku muhimu ya kuenzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *