Maktaba ya Mwezi: September 2018

WANANCHI WA KJIJI CHA MUSANJA WAJITOLEA KUJENGA DARAJA

  Wananchi wa Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja wamejitolea kwa hali na mali kujenga daraja linalounganisha Vitongoji vya Kaharaga na Kukema (ilipo S/M Musanja) ili kurahisisha mawasiliano kati ya Shule na Jamii inayozunguka Shule hiyo. Ujenzi wa Daraja hilo utasaidia wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Musanja waliokuwa wanapata shida …

Soma zaidi »

TANESCO KUOKOA MIL. 450 KILA MWEZI BAADA YA KUZIMA MITAMBO YA KUFUA UMEME INAYOTUMIA DIZELI RUVUMA

 Moja ya mitambo ya kufua umeme wa mafuta ya dizeli uliokuwa kwenye kituo cha Songea ikiwa imezimwa. Kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya dizeli iliyokuwa ikitumika kufua umeme kwa matumizi ya mji wa Songea na vitongoji vyake Septemba 13, 2018 baada ya kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa, Shirika la umeme …

Soma zaidi »

Eng. Patrick MFUGALE aongelea kuanza kutumika Kwa Flyover kabla ya uzinduzi.

Barabara za juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam nchini Tanzania  zimeanza kutumika hii leo kwa majaribio ambapo uzinduzi rasmi utafanyika baada ya tarehe rasmi kupangwa. Akizungumza mara baada ya kufanyika kwa uzinduzi huo wa majaribio injinia Patrick Mfugale ambaye barabara hizo zimepewa jina lake Mfugale Fylover amesema …

Soma zaidi »

MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA

Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …

Soma zaidi »