Maktaba ya Mwezi: September 2018

NEC: Imetangaza uchaguzi mdogo katika kata 37 za Tanzania bara zilizopo katika Halmashauri 27 nchini.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata 37 za Tanzania bara zilizopo katika Halmashauri 27 nchini, ikieleza kuwa uchaguzi huo utafanyika Oktoba 13, 2018 Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage amesema hapo jana kuwa fomu za uteuzi wa wagombea katika uchaguzi huo zitatolewa kati ya Septemba …

Soma zaidi »

IRINGA: “Unganishiwa umeme kwa bei nafuu ya mradi wa REA ya shilingi elfu 27 tu” Mhe.Kalemani

YALIYOJIRI KWENYE KIPINDI CHA TUNATEKELEZA KILICHOMUHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, DKT. MEDARD KALEMANI 13/09/2018. #Mradi wa Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme uliopo Makambako, umekamilika   #Utekelezaji wa mradi huu ulianza Septemba 2016, pia ni miongoni mwa miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali kupitia Ilani ya Chama cha Mapinduzi #Sehemu ya kwanza …

Soma zaidi »

IRINGA: Ziara ya Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi yaibua makubwa

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na uchunguzi wa jinai kwa watendaji mbalimbali wa kijiji cha utosi, kata Sadani akiwemo katibu tarafa wa Sadani kwa makosa mbalimbali wanayotuhumiwa. Katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi kijiji cha Utosi tarafa ya SADANI, wananchi …

Soma zaidi »

SIKILIZA Radio chanyA+ REDIO YA MTANDAONI BURE

• Ni redio inayosimulia na kufafanua Matokeo ChanyA+ yanayofanywa kila dakika, kila saa TANZANIA 🇹🇿 katika ujenzi wa Taifa lenye uchumi imara na madhubuti kwa mkunufaisha wananchi wote. BOFYA • Ni redio iliyosheheni hotuba za kizalendo za viongozi wakuu wa nchi, makala ChanyA+ za miradi inayotekelezwa na serikali kwa sasa, …

Soma zaidi »

CHAMWINO: “Kaitumie sheria inayokupa mamlaka ya kuwafikisha mahakisha mahakamani wala rushwa ‘DIRECT’ bila kupita kwa yeyote” – RAIS MAGUFULI

Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, wamekula kiapo mbele yake katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma siku ya Jumatano Septemba 12, 2018. “Nenda ukafanye kazi.” Kauli ya Rais Magufuli akimuagiza Mkurugenzi wa mpya wa Taasisi ya Kusuia na Kupambana na …

Soma zaidi »