Maktaba ya Mwezi: September 2018

RAIS WETU… ni Jembe!!

• Awa mfano wa utatuzi wa Kero za wananchi. Migogoro ya ardhi, dhuluma, matatizo ya kero katika shule/elimu, ufanisi katika miradi, uwajibikaji na maamuzi yaliyowashinda viongozi wengine yametatuliwa katika kila eneo analosimama akiwa riarani • Ziara zake, zinaacha alama isiyofutika katika kila eneo alilopita. Barabara, hospitali, majengo, viwanja vya ndege, …

Soma zaidi »

DSM: “Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam” Paul Makonda

Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kati yao, watu 6,667 walipigwa faini na kuwezesha kupatikana kwa fedha kiasi cha Sh346 milioni, ambacho nusu yake imetumika kuwalipa mgambo ambao wanatekeleza kampeni hiyo. Akizungumza kwenye mkutano na wadau wa usafi na …

Soma zaidi »

KIGOMA: Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu katika kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto …

Soma zaidi »