Kitaifa yanafanyika Mkoani Tanga. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibae Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ndiye mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wamehudhuria pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Selikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania. Fuatilia moja kwa moja …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: October 2018
NYERERE DAY: RAIS MAGUFULI NA MKEWE WAMTEMBELEA MAMA MARIA
Katika kuazimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wameshiriki Ibada ya Misa Takatifu maalum ya kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kanisa la St. Peter …
Soma zaidi »Late LIVE: WAZIRI KANGI LUGOLA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Ni kuhusu suala la mfanyabiashara Bilionea Mohamed DEWJI almaarufu kama MO. Bofya link hii kufuatilia
Soma zaidi »video & link; TESEApp Inamsaidiaje Mwanafunzi Kusoma mtandaoni?
Wataalamu wahojiwa na kuelezea. Wasimulia na kuonyesha mifano dhahiri kilichomo ndani ya App hiyo ambacho ni msaada mkubwa kwa mwanafunzi. Sasa tuition inaweza kuwa ni historia kwa wanafunzi wa sekondari nchini. Wasema TESEApp ina kila hitaji la mwanafunzi wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita nchini. Tanzana kipindi …
Soma zaidi »MADINI: Waziri amaliza mgogoro wa wawekezaji Moro
Mgogoro uliodumu kwa miaka minane (8) baina ya wawekezaji wawili wa Budha na Zhong Fa katika eneo la Maseyu mkoani Morogoro ambalo ni la machimbo ya Marble umekwisha rasmi baada ya Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko kukutana na pande zote mbili katika eneo hilo. Hatua hiyo iliyochukulia na Serikali …
Soma zaidi »UCHAGUZI: Liwale kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumamosi Oktoba 13 mwaka 2018.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi wapiga kura wote waliojiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na wanaoishi kwenye Jimbo la Liwale mkoani Lindi na kata nne za Tanzania Bara, kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumamosi Oktoba 13 mwaka huu ili kuwachagua viongozi wanaowataka wawaongoze kwa kipindi …
Soma zaidi »MO: Kailima awatoa hofu Watanzania
Naibu katibu mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani awatoa hofu Watanzania kuwa nchi ipo salamaL licha ya kutokea kwa tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji. Naibu katibu mkuu huyo amesema hayo mkoani Simiyu ambapo amesema tukio hilo haliwezi kuharibu sifa ya nchi nzima kwani matukio kama haya hutokea pia …
Soma zaidi »video: SIKU WAZIRI MKUU ALIPOTETA NA MFANYABIASHARA MO
• Mhe. Waziri Mkuu alimsisitizia namna serikali inavyojali mchango wa wafanyabiashara • Mohamed Dewji alifika ofisini kwa Mhe. Waziri Mkuu kupeleka taarifa yake ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kujenga Tanzania ya viwanda. • Mhe. Waziri Mkuu alimwambia mfanyabiashara huyo umuhimu wa kodi inayokusanywa kutoka kwa wafanyabiashara na serikali …
Soma zaidi »FURSA KWA WAFANYABIASHARA; Milango Imefunguliwa Kutangaza Bidhaa za Tanzania Kwenye Soko la China
Jimbo la Guangdong limeahidi kutoa fursa kwa wafanyabiashara wa Tanzania kushiriki katika maonesho mbalimbali ya biashara yanayoandaliwa kwa ajili ya kutangaza bidhaa za Tanzania katika soko la China. Ahadi hiyo imetolewa na kiongozi wa Serikali ya Jimbo hilo Ndugu Zheng Jianlong alipokutana na Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Mbelwa …
Soma zaidi »SERIKALI HAITAMVUMILIA MKANDARASI YEYOTE ATAKAYECHELEWESHA MIRADI YA NISHATI
Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amesema Serikali haitavumilia mkandarasi yeyote atakayechelewesha Miradi ya Nishati nchini. Mgalu amesema hayo wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambapo aliwasha rasmi umeme katika kijiji cha Ibaga Shuleni, Ibaga center na Nkinto Ikurui pamoja na kukagua shughuli za utekelezaji wa …
Soma zaidi »