Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na kusema ameridhishwa hatua iliyofikiwa. Mradi wa ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 95 na unatarajiwa kukamilika Mei 30, mwaka huu ambapo hadi sasa tayari maeneo …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: March 2019
LIVE CATCH UP: IGP SIRRO Afanya Mabadiliko Jeshi la Polisi
PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA “DEFEND DEFENDERS” GENEVA, USWISI
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya “Defend Defenders” Bw. Hassan Shire na Bw. Nicolas Agostini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Geneva nchini Uswisi wakati wa Kikao …
Soma zaidi »MAAFISA UTAMADUNI KUONGEZEWA BAJETI – JAFO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Seleman Jaffo amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote nchini kuwawezesha Maafisa Utamaduni kwa kuwaongezea Bajeti itakayowawezesha kutimiza majukumu yao kwa ufasaha. Agizo hilo amelitoa Jijini Dodoma wakati alipokuwa akifunga Kikao Kazi cha …
Soma zaidi »