Maktaba ya Mwezi: March 2019

UJENZI WA HOSPTALI YA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA WATAKIWA KUKAMILIKA JUNI MWAKA HUU

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora(UYUI) umeagizwa kuongeza kasi katika ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ili ifikapo Juni mwishoni mwaka huu majengo yote  waliyopangiwa yamewe yamekamilika. Agizo hilo limetolewa  wilayani Uyui na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo baada ya …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AIPONGEZA TFDA KWA KUIFANYA TANZANIA KUWA YA KWANZA KATIKA UDHIBITI WA UBORA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) inafanya kazi zake vizuri na kuifanya Tanzania kwa nchi Kwanza katika udhibiti wa ubora wa dawa, vifaa, Tiba, vipodozi pamoja na vitendanishi. Waziri Mkuu Majaliwa aliyasema hayo wakati alipokwenda ziara ya kikazi katika Mamlaka hiyo amesema kuwa katika kufanya …

Soma zaidi »

UMOJA WA ULAYA EU WATOA MAFUNZO YA UDHIBITI WA VYANZO VYA MIONZI KWA NCHI TANO ZA AFRIKA.

Umoja wa Ulaya EU umetoa mafunzo ya udhibiti wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi kwa nchi tano za Afrika kwa lengo la kusaidia udhibiti  wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi bila kufuata utaratibu pamoja na utoroshwaji wa vyanzo vya mionzi vilivyoibiwa kwa matumizi yasiyo salaama na hatarishi. Washiriki  wa mafunzo …

Soma zaidi »

MKURABITA YATAJWA KUCHOCHEA MAENDELEO ENDELEVU

Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) umetajwa kuchochea ustawi wa wananchi na kuendana na azma ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwakwamua wananchi kiuchumi baada ya kurasimisha mashamba yao ili kufikia maendeleo endelevu. Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wakulima zaidi ya 100  wa Kijiji cha Mahama …

Soma zaidi »

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UZALISHAJI KATIKA KIWANDA CHA TRANSFOMA

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati, George Simbachawene wametembelea kiwanda cha kuzalisha transfoma cha TANELEC kilichoko jijini Arusha ili kukagua masuala mbalimbali ikiwemo uwezo wake katika uzalishaji wa transfoma lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa nchi inakuwa na vifaa vya umeme vya kutosha. …

Soma zaidi »