Maktaba ya Mwezi: March 2019

MAABARA ZA NYUKLIA KUWEZESHA TZ KUUZA BIDHAA NJE YA NCHI POPOTE DUNIANI

Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania kujenga Maabara katika Kanda. Maabara za Nyuklia  Mkombozi wa Mkulima, Mfugaji na Mvuvi Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia uwekezaji wa maabara za Nyuklia.   Ili Tanzania ifanikiwe kuwa na vigezo hitajika vya kuuza bidhaa zake nje ya nchi bila kuchagua baadhi ya masoko inatakiwa kuwa na …

Soma zaidi »

JESHI LA POLISI LIJITAFAKARI KWA BAADHI YA MATENDO YAKE – RAIS MAGUFULI

Rais  Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 04 Machi, 2019 amewaapisha Mawaziri 2, Balozi 1 na kushuhudia Naibu Makamishna wa Polisi 5 wakivishwa vyeo vipya vya Kamishna wa Polisi (CP) na kuapishwa kuongoza Kamisheni za Polisi. Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Balozi Dkt. Augustine Phillip Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na …

Soma zaidi »

MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI UTALETA FURSA NYINGI KWA WATANZANIA – WAZIRI MHAGAMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama  Machi 2, 2019 amefungua warsha ya mafunzo kuhusu Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda kuja Tanga, Tanzania. Warsha hiyo iliwakutanisha zaidi ya wadau …

Soma zaidi »

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA WATOA HUDUMA YA UPIMAJI USIKIVU BILA MALIPO

Wingi wa watu waliojitokeza  kupima usikivu wao umeonyesha ni jinsi gani wananchi wanajali afya zao, huku wakipewa sababu zinazosababisha baadhi ya watu kupoteza uwezo wa kusikia na jinsi ya kuzuia upotevu wa kusikia. Upimaji wa usikivu bila malipo umeanza Machi 2, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ambapo kauli mbiu …

Soma zaidi »

SERIKALI KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UZALISHAJI WA PAMBA MBEGU VIPARA -BASHUNGWA

Serikali imeeleza kuwa imejipanga kuimarisha zao la Pamba ili kuongeza uzalishaji nchini kwani kufanya hivyo wakulima watanufaika katika uzalishaji wenye tija na kuimarisha biashara. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Muhunze kilichopo katika Wilaya ya Kishapu wakati …

Soma zaidi »

NAWAHAKIKISHIA MAJI YATAFIKA KOTE NCHINI – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Akiwa Wilayani Kahama Makamu wa Rais alitembelea mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa Victoria kwennda katika miji …

Soma zaidi »