UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MSASA KWA MASHAMBA DARASA

  • Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Balozi Joseph Sokoine leo amefungua Mafunzo ya Msasa ya Uwezeshaji kuhusu Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika maeneo kame nchini (ldfs), katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Morogoro.
MF 1-01
Sehemu ya Washiriki wa Mafunzo ya Msasa ya kuhusu Uwezeshaji Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika maeneo kame ya nchi (ldfs),wakiwa kwenye uchambuzi yakinifu wa mimea na ikolojia shambani katika Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • “Ni matumaini yangu kuwa elimu na ufahamu mtakauopata kupitia mafunzo haya, mtaitumia katika kufanikisha uanzishaji wa mashamba darasa katika maeneo ya mradi” alisema Balozi Sokoine.
  • Mafunzo hayo ya siku 5 yanalenga kujenga uwezo kwa washiriki katika uanzishaji wa mashamba darasa katika vijiji na shehia ambako mradi wa LDFS unatekelezwa.
  • Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wamekuwa wakitekeleza miradi inayolenga kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo kwa kusogeza karibu teknolojia kwa wakulima.
  • Lengo likiwa ni kuongeza usalama wa chakula na kuongeza kipato cha jamii. Mradi wa LDFS ambao umeandaa mafunzo haya ni mfano wa juhudi hizo za Serikali. Juhudi hizi zinahusisha uingizaji na matumizi ya teknolojia mpya ikiwemo matumizi sahihi ya mbolea, mbegu zenye ubora; uboreshaji wa nyanda za malisho; utoaji wa huduma za ugani na mafunzo kupitia shamba darasa. Juhudi hizi zote zina lengo la urejesha ardhi iliyoharibika ili iweze kuendelea kuzalisha mazao ya kilimo, mifugo na misitu.
MF 3
Sehemu ya Washiriki wa Mafunzo ya Msasa ya kuhusu Uwezeshaji Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika maeneo kame ya nchi (ldfs),wakiwa kwenye uchambuzi yakinifu wa mimea na ikolojia shambani katika Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Kwa upande wake Mratibu wa Mradi huo wa LDFS Bw. Joseph Kihaule amesema mradi huo utajumuisha na uanzishwaji wa mashamba darasa 100.
  • Wawezeshaji wa mradi huo ni Shirika la Kilimo na Chakula Duniani (FAO), Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na Wakala wa Taifa wa Mbegu za Miti Tanzania (TTSA) ambapo washiriki wa mafunzo hayo wametoka Wizara za Kilimo, Maliasili na Utalii, Maji, Mifugo na Uvuvi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Idara ya Mazingira, Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar.
  • Aidha, washiriki wengine ni kutoka katika Halmashauri zinazotekeleza Mradi za Mkalama, Micheweni, Magu, Nzega na Kondoa, pamoja waalikwa rasmi Daktari Moses Temi na Bwana Charles Mjema.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

293 Maoni

  1. Открой мир карточных игр в Pin-Up https://pin-up.porsamedlab.ru казино Блэкджек, Баккара, Хило и другие карточные развлечения. Регистрируйтесь и играйте онлайн!

  2. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  3. Pinup казино https://pin-up.vcabinet.kz это не просто сайт, а целый мир азартных развлечений, где каждый может найти что-то свое. От традиционных игровых автоматов до прогнозов на самые популярные спортивные события.

  4. Latest Diablo news https://diablo.com.az game descriptions and guides. Diablo.az is the largest Diablo portal in the Azerbaijani language.

  5. Latest World of Warcraft (WOW) tournament news https://wow.com.az, strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Azerbaijani language

  6. Discover exciting virtual football in Fortnite https://fortnite.com.az. Your central hub for the latest news, expert strategies and interesting e-sports reports. Collecting points with us!

  7. The latest analysis, tournament reviews and the most interesting features of the Spider-Man game https://spider-man.com.az series in Azerbaijani.

  8. Read the latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike.net.az, watch the most successful tournaments and become the best in the world of the game on the CS2 Azerbaijan website.

  9. Mesut Ozil https://mesut-ozil.com.az latest news, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about one of the best football players Mesut Ozil.

  10. Explore the extraordinary journey of Kilian Mbappe https://kilian-mbappe.com.az, from his humble beginnings to global stardom. Delve into his early years, meteoric rise through the ranks, and impact on and off the football field.

  11. Latest news, statistics, photos and much more about Pele https://pele.com.az. Get the latest news and information about football legend Pele.

  12. Latest boxing news https://boks.com.az, Resul Abbasov’s achievements, Tyson Fury’s fights and much more. All in Ambassador Boxing.

  13. Sergio Ramos Garcia https://sergio-ramos.com.az Spanish footballer, defender. Former Spanish national team player. He played for 16 seasons as a central defender for Real Madrid, where he captained for six seasons.

  14. Gianluigi Buffon https://buffon.com.az Italian football player, goalkeeper. Considered one of the best goalkeepers of all time. He holds the record for the number of games in the Italian Championship, as well as the number of minutes in this tournament without conceding a goal.

  15. Paul Labille Pogba https://pogba.com.az French footballer, central midfielder of the Italian club Juventus. Currently suspended for doping and unable to play. World champion 2018.

  16. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.liverpool-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  17. Канал для того, чтобы знания и опыт, могли помочь любому человеку сделать ремонт https://tvin270584.livejournal.com в своем жилище, любой сложности!

  18. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.liverpool-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs joueurs du monde.

  19. Paul Labille Pogba https://paul-pogba.psg-fr.com Footballeur francais, milieu de terrain central du club italien de la Juventus. Champion du monde 2018. Actuellement suspendu pour dopage et incapable de jouer.

  20. The young talent who conquered Paris Saint-Germain: how Xavi Simons became https://xavi-simons.psg-fr.com leader of a superclub in record time.

  21. Kylian Mbappe https://kylian-mbappe.psg-fr.com Footballeur, attaquant francais. Il joue pour le PSG et l’equipe de France. Ne le 20 decembre 1998 a Paris. Mbappe est francais de nationalite. La taille de l’athlete est de 178 cm.

  22. Paul Pogba https://psg.paul-pogba-fr.com is a world-famous football player who plays as a central midfielder. The player’s career had its share of ups and downs, but he was always distinguished by his perseverance and desire to win.

  23. Kevin De Bruyne https://liverpool.kevin-de-bruyne-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  24. Kylian Mbappe https://psg.kylian-mbappe-fr.com Footballeur, attaquant francais. L’attaquant de l’equipe de France Kylian Mbappe a longtemps refuse de signer un nouveau contrat avec le PSG, l’accord etant en vigueur jusqu’a l’ete 2022.

  25. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.real-madrid-ar.com Footballeur belge, gardien de but du Club espagnol “Real Madrid”. Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Trois fois vainqueur du Trophee Ricardo Zamora, decerne chaque annee au meilleur gardien espagnol

  26. Forward Rodrigo https://rodrygo.real-madrid-ar.com is now rightfully considered a rising star of Real Madrid. The talented Santos graduate is compared to Neymar and Cristiano Ronaldo, but the young talent does not consider himself a star.

  27. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.real-madrid-ar.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards.

  28. Saud Abdullah Abdulhamid https://saud-abdulhamid.real-madrid-ar.com Saudi footballer, defender of the Al -Hilal” and the Saudi Arabian national team. Asian champion in the age category up to 19 years. Abdulhamid is a graduate of the Al-Ittihad club. On December 14, 2018, he made his debut in the Saudi Pro League in a match against Al Bateen

  29. Khvicha Kvaratskhelia https://khvicha-kvaratskhelia.real-madrid-ar.com midfielder of the Georgian national football team and the Italian club “Napoli”. Became champion of Italy and best player in Serie A in the 2022/23 season. Kvaratskhelia is a graduate of Dynamo Tbilisi and played for the Rustavi team.

  30. Vinicius Junior https://vinisius-junior.com.az player news, fresh current and latest events for today about the player of the 2024 season

  31. Latest news and information about Marcelo https://marcelo.com.az on this site! Find Marcelo’s biography, career, playing stats and more. Find out the latest information about football master Marcelo with us!

  32. Conor Anthony McGregor https://conor-mcgregor.com.az Irish mixed martial arts fighter who also performed in professional boxing. He performs under the auspices of the UFC in the lightweight weight category. Former UFC lightweight and featherweight champion.

  33. Оперативный вывод из запоя https://www.liveinternet.ru/users/laralim/post505923855/ на дому. Срочный выезд частного опытного нарколога круглосуточно. При необходимости больного госпитализируют в стационар.

  34. Видеопродакшн студия https://humanvideo.ru полного цикла. Современное оборудование продакшн-компании позволяет снимать видеоролики, фильмы и клипы высокого качества. Создание эффективных видеороликов для рекламы, мероприятий, видеоролики для бизнеса.

  35. Совсем недавно открылся новый интернет портал BlackSprut (Блекспрут) https://bs2cite.cc в даркнете, который предлагает купить нелегальные товары и заказать запрещенные услуги. Самая крупнейшая площадка СНГ. Любимые шопы и отзывчивая поддержка.

  36. Заказать вывоз мусора региональный вывоз мусора в Москве и Московской области, недорого и в любое время суток в мешках или контейнерами 8 м?, 20 м?, 27 м?, 38 м?, собственный автопарк. Заключаем договора на вывоз мусора.

  37. Реальные анкеты https://prostitutki-vyzvat-moskva.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  38. Welcome to the site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.com.az, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  39. Diego Armando Maradona https://diego-maradona.com.az Argentine footballer who played as an attacking midfielder and striker. He played for the clubs Argentinos Juniors, Boca Juniors, Barcelona, ??Napoli, and Sevilla.

  40. Muhammad Ali https://muhammad-ali.com.az American professional boxer who competed in the heavy weight category; one of the most famous boxers in the history of world boxing.

  41. Lev Ivanovich Yashin https://lev-yashin.com.az Soviet football player, goalkeeper. Olympic champion in 1956 and European champion in 1960, five-time champion of the USSR, three-time winner of the USSR Cup.

  42. Usain St. Leo Bolt https://usain-bolt.com.az Jamaican track and field athlete, specialized in short-distance running, eight-time Olympic champion and 11-time world champion (a record in the history of this competition among men).

  43. Al-Nasr https://al-nasr.com.az your source of news and information about Al-Nasr Football Club . Find out the latest results, transfer news, player and manager interviews, fixtures and much more.

  44. Game World https://kz-games.kz offers the latest online gaming news, game reviews, gameplay and ideas, gaming tactics and tips . Start playing our most popular and amazing games and get ready to become the leader in the online gaming world!

  45. Latest news and information about the NBA https://basketball-kz.kz in Kazakhstan. Hot stories, player transfers and highlights. Watch the NBA world with us.

  46. Top sports news https://sport-kz-news.kz, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  47. Check out Minecraft kz https://minecraft-kz.kz for the latest news, guides, and in-depth reviews of the game options available. Find the latest information on Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  48. Latest news from World of Warcraft https://wow-kz.kz (WOW) tournaments, strategy and game analysis. The most detailed gaming portal in the language.

  49. Latest news and analysis of the Premier League https://premier-league.kz. Full descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events. Premier Kazakhstan is the best place for football fans.

  50. Доставка груза и грузоперевозки https://tamozhennyy-deklarant.blogspot.com по России через транспортную компанию автотранспортом доступна и для частных лиц. Перевозчик отправит или доставит ваш груз: выгодные тарифы индивидуальный подход из рук в руки 1 машиной.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *