Maktaba ya Mwezi: June 2020

NCHI ZA NORDIC ZAAHIDI KUENDELEZA, KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA TANZANIA

Nchi za NORDIC ambazo ni Norway, Sweden, Finland na Dernmark zimeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania na kuhakikisha kuwa Tanzania inasonga mbele katika maendeleo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi. Akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nordic jijini Dar es Salaam, Balozi wa Norway nchini, Elisabeth Jacobsen amesema kuwa nchi za …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS ATAKA KUFANYIKA TATHMINI KATIKA MAENEO YOTE YA MIGODI NA WACHIMBAJI WADOGO ILI KUBAINI KIWANGO CHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 6 Juni, 2020 amekutana na Viongozi na Watumishi Waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage uliopo katika Jengo la …

Soma zaidi »

SOKO LA DHAHABU MKOANI GEITA LACHANGIA MAPATO YA SERIKALI KUPITIA MRABAHA NA ADA YA UKAGUZI KWA JUMLA YA BILIONI 36.57

Na Nuru Mwasampeta, WM WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amewataka Watanzania kuutazama mchango wa sekta ya madini kwa namna unavyosaidia kuinua sekta nyingine za uchumi, kwani tayari kwa upande wa kuongezeka kwa ukusanyaji wa maduhuli sekta hiyo imeonesha mafanikio makubwa. “Niliwaambia wenzangu wizarani, lazima tuhame sasa kwenye mfumo wa kufurahia …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KWA MAOMBI DHIDI YA CORONA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba Mwenyezi Mungu aepushe janga la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati alipokuwa akiendesha Harambee …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John …

Soma zaidi »

SERIKALI KULIPA MAFAO YA WALIMU 2631 KABLA YA MWEZI AGOSTI, 2020

Rais Dkt. John Magufuli amesemea kuwa Serikali italipa mafao ya walimu kabla ya mwezi wa Agosti mwaka huu ambapo walimu wanaodai mafao yao ni 2631, amesema hayo katika mkutano wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) uliofanyika mjini Dodoma “kwa taarifa za jana kutoka mfuko wa PSSSF umepokoea na kulipa trilioni …

Soma zaidi »