Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kamuzu Nchini Malawi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: July 2020
NAIBU WAZIRI MGALU ARIDHISHWA NA HATUA ILIYOFIKIWA KATIKA MRADI WA UMEME WA JNHPP
Hafsa Omar-Morogoro Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, Julai 2,2020 amefanya ziara ya ukaguzi ya maendeleo ya ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa Maji wa Julius Nyerere(JNHPP) unaotekelezwa kwenye mto Rufiji. Katika ziara yake hiyo, aliambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya pamoja na …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: SERIKALI IMEFUTA TOZO 163 KUWAONDOLEA USUMBUFU WAFANYABIASHARA
Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAMWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imeweza kufuta tozo 163 kati ya 173 zilizokuwa zikisababisha kero na usumbufu kwa wafanyabiashara nchini.Akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DIFT) …
Soma zaidi »VIJIJI VINAVYOCHIPUKIA KUWA MIJI KUTANGAZWA MAENEO YA MIPANGO MIJI
Na Munir Shemweta, WANMM KIGOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Mipango Miji nchini kuzisaidia wilaya kuhakikisha maeneo yote ya vijiji yanayochipukia kuwa miji anapelekewa ili ayatangaze kuwa maeneo ya Mipango Miji. Lukuvi alisema hayo jana wakati akizindua ofisi ya ardhi mkoa wa Kigoma …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA 2 NA WAKUU WA WILAYA 9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa 2 kama ifuatavyo; Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Philemon Sengati kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Sengati alikuwa Mkuu wa Wilaya ya …
Soma zaidi »TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANZANIA KUINGIA KWENYE KUNDI LA NCHI ZA KIPATO CHA KATI
Serikali ya Tanzania chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, imeandika historia baada Benki ya Dunia kuitangaza rasmi kuwa nchi yenye uchumi wa kipato cha kati kuanzia tarehe 1 Julai 2020. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, imeeleza …
Soma zaidi »MIGODI LAZIMA ITEKELEZE SHERIA YA “LOCAL CONTENT” – WAZIRI BITEKO
Na. Issa Mtuwa – WM – Geita Waziri wa Madini amesema yapo mambo mengi yanayozungumzwa na kukubaliana kati ya Serikali na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) hususani ulipaji wa Kodi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya jamii (CSR) lakini bado baadhi hakubaliani nayo hususani suala la utekelezaji wa …
Soma zaidi »WATANZANIA JITOKEZENI KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA UTALII
Na. Aron Msigwa – WMU. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa wito kwa watanzania wajitokeze kuwekeza katika biashara ya Utalii kwa kuwa masharti ya kuwekeza katika biashara hiyo yamerahisishwa tangu Serikali ya Awamu ya tano ilipoingia madarakani. Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati …
Soma zaidi »MAWASILIANO YAREJESHWA MTO RAU
Na. Bebi Kapenya, Kilimanjaro. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kurejesha mawasiliano katika maeneo mbalimbali nchini yaliyoathiriwa na mvua zilizosababisha athari kubwa kwa watumiaji wa barabara pamoja na madaraja. Wakala umejenga daraja la muda la Chuma la Mto Rau Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada …
Soma zaidi »DOKTA MPANGO AMTAKA MKANDARASI HOSPITALI YA WILAYA YA BUHIGWE, KIGOMA KUZINGATIA UBORA
Na. Josephine Majula na Peter Haule, WFM, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Kigoma kumsimamia ipasavyo mkandarasi anayejenga Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe mkoani humo, baada ya kutoridhishwa na ubora wa majengo ikilinganishwa na kiasi cha shilingi bilioni 2.4 zilizotumika mpaka …
Soma zaidi »